Mimi nasemaga ukweli always πΉKwa mala ya kwanza nakuamini aiseee
AsanteUna boaaa mfyuuuu
Jidanganye!Humu wengi ni kama wanawake kutoka makete njombe uko sasa hizo sura za upole zinatokea wapi
πΉπΉπΉ PoyeeeUna boaaa mfyuuuu
Utagombania na nani?πΉπΉπΉ Poyeee
Sasa mimi kugombania bwana siwezi nna hasira nisije kuvunja server za Max bure..!!
Hii haikua quote yako shemAsante
Una balaa wewe πΉNikiweke picha bila emoji unalipa??
Full face
Na utafanya fujoo nakujua hatutakaa humu πππΉπΉπΉ Poyeee
Sasa mimi kugombania bwana siwezi nna hasira nisije kuvunja server za Max bure..!!
πΉπΉπΉ Atampa Max anipeSasa utampia wapi? Kafunga PM
Haya kauze kiwanja cha urithi
Hamna coca atakua kaona wewe miyeyusho kaniepusha dada ake..! πΉAnajua wewe unakunja
Jamani si mapenzi tu! πΉKadi ya bank?
Vita hio sasa
Yes Madame π«‘Mpaka utii
We wa makete mwenzao mbona hupiti tusuuze nafsiπ€£Humu wengi ni kama wanawake kutoka makete njombe uko sasa hizo sura za upole zinatokea wapi
Niko mbaya mbovu nisije achia connection wachawi wako active ileileπAchana nazo za zaman weka mpya
Eeehh πΉπΉHumu wengi ni kama wanawake kutoka makete njombe uko sasa hizo sura za upole zinatokea wapi
Anakubania huyo πΉAin't serious. Ni vibe la weekend tu bana. Sema majina yako ndo yanakata maini na kuleftisha fikra: Mara kaka, mara kijana, mara mkuu dah!
Ila tu ukorofi uache! ππππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Na mademu zako na maex πΉUtagombania na nani?
Fanya mambo banaNiko mbaya mbovu nisije achia connection wachawi wako active ileileπ
Hiyo shem ntakuchapa πΉHii haikua quote yako shem
Sijawahi kuwa na mahusiano humuNa mademu zako na maex πΉ