πΉπΉπΉ Weeh sema kweli?Nimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone ππ
Niamini mimi nina jicho la rohoniπΉπΉπΉ Weeh sema kweli?
Njoo hapa tufanye challengeKweli, mi hawanipendi kakorofi π
Pm wamefunga mods πΉ
Usitunyime Tena bhana.
πΉπΉπΉ Huyo anatakiwa kupewa kadi ya bank tu sio kufokewa..!!Manena
Namwelew kitambo hata cocastic anajua sema ananifichia white πNimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone ππ
Atakayekufokea achapwe..!! πΉππππ
Wengi wape. Watu wote hawa hatuwezi kuwa wrong. Sura yako ina ujumbe mzuri sana kiroho
Sitakiii et mpole kama naimba kwaya πUsitunyime Tena bhana.
Weeeh sema kweli π»Utakapo kuja kwangu nitakuonyesha Yale yote unayoyataka kuona. Tafadhari nipe nafasi hioπ€π
Sura ya upole au sio, anaonekana hana mambo mengiWengi wape. Watu wote hawa hatuwezi kuwa wrong. Sura yako ina ujumbe mzuri sana kiroho
Ah! Kadi ya bank? Hapo umevuka mpaka mremboππΉπΉπΉ Huyo anatakiwa kupewa kadi ya bank tu sio kufokewa..!!
Komaa nipo pembeni nakusaidia kazaaπ₯π₯Namwelew kitambo hata cocastic anajua sema ananifichia white π
Tunasema ukweli mahi!We jamaa na Labela ni hiviπ«‘
Mtu akija kusoma baadae anapagawa
Anyway naanza kua mpoleee
Nishamkatia tamaa πKomaa nipo pembeni nakusaidia kazaaπ₯π₯
Kweli? π»Njoo uniombe vochaπ
Asantee kaka angu πWengi wape. Watu wote hawa hatuwezi kuwa wrong. Sura yako ina ujumbe mzuri sana kiroho
Mbona sifichi kitu American boy..!! πΉShida unaficha white.
Asubuhi yote hii kha!Nishamkatia tamaa π