Kama wewe ni muhenga nadhani unaukumbuka wimbo wa Wyre, " ni chuki tu mimi nahisi." Sema huwa tunakubali hizo conditions halafu baade tunapeleka mrejesho kwenye ule uzi wa Riki Boy.
Inshaallah nitaweza,, mwenyewe mwanzo sikuwa nauelewa huu wimbo ila kuna mtu humu kanifanya niuelewe ghafla.. sema nimependa zaidi kile kimdundo chake kama cha reggae
Mbona kaka tena, hizi sio dalili nzuri, niite hata mkuu. Kama haujui basi wewe wa juzi juzi. Utafute usikie Wyre alivyokuwa analalamika, sijui hata walimfanya nini.
Mbona kaka tena, hizi sio dalili nzuri, niite hata mkuu. Kama haujui basi wewe wa juzi juzi. Utafute usikie Wyre alivyokuwa analalamika, sijui hata walimfanya nini.
No kitoko sipigi aise,, mie mwenyewe ni mpenzi wa wine kuliko beer au whisky au spirit na huwa sipendi kunywa sana hadi kulewa kwanza ini langu bado nalipenda ati..
No kitoko sipigi aise,, mie mwenyewe ni mpenzi wa wine kuliko beer au whisky au spirit na huwa sipendi kunywa sana hadi kulewa ini langu bado nalipenda ati..