ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,561
- 41,661
Sijui kwanini sikua mini 😀😀Mie najifurahia mno hivi nilivyo, na ba mjengo ananipa confidence dunia nzima hakuna 😂 ingekua siyo kuogopa hizi ajira za utumishi, hii sura yangu personal pia ningewamwagia hapa mnijadili 😹😹
Mdogo wangu aliwahi kuzaa, mtoto wake naye kafikisha miaka 19 kazalisha, sasa tumekua mabibi.
Wakifanya tena JF get together, tutatia timu na wajukuu zetu!
View attachment 3602292
Anatuona kama nini 🫣Ni mtoto wake hiyo ujukuu katupanga 😹
Anza wewe ujue hata mimi ni base we kwani ulijua nyororo🤪Weka bhana.!! Mbona mi nna base naliwekaga humu 😹😹
Hongera mwanakwetu 😹Mie najifurahia mno hivi nilivyo, na ba mjengo ananipa confidence dunia nzima hakuna 😂 ingekua siyo kuogopa hizi ajira za utumishi, hii sura yangu personal pia ningewamwagia hapa mnijadili 😹😹
Mdogo wangu aliwahi kuzaa, mtoto wake naye kafikisha miaka 19 kazalisha, sasa tumekua mabibi.
Wakifanya tena JF get together, tutatia timu na wajukuu zetu!
View attachment 3602292
Pole aisee umepitwa na warembo wakali visu tupu.!! 😹Watu wame selfika usiku wa manane, sio haki
Nitafute kiti niweke kambi na huku
Pita mahi 😍Au ni selfike tena sifa zako zimenikolea
Matraco yake 😹Anatuona kama nini 🫣
Hehehe ngoja kwanza😃Pita mahi 😍
Ulivyo mzuri tetemesha server za Max
Mida nakuja hapa nilipo kuna mikelele sauti zitaingiliana..!!Anza wewe ujue hata mimi ni base we kwani ulijua nyororo🤪
NasubiriMida nakuja hapa nilipo kuna mikelele sauti zitaingiliana..!!
We ulikuwepo?😆Pole aisee umepitwa na warembo wakali visu tupu.!! 😹
Nakosaje 😹We ulikuwepo?😆
Tulia hapoNasubiri
🍟Tulia hapo
Umepitwa na mipicha ya wazee mnalala sana nyieHehehee kunanini jamani uwii nacheka huku naogopa🤡🤡
leo dada nikuone dadaake
win-one nakudai
Binti wa zamani mamaake sijakuona kitambo🥱
Ana rangi fulani hivi, nalia ugali mkavu mboga ni picha yake.Nimeona aisee uko 🔥
Binti mrembo kasura ka upole
Weka sasa foro hiyo mtoto mkaree 😹Hehehe ngoja kwanza😃
Unanijaza bhaana mi ukinisifia sana nogopa 🤪😂Weka sasa foro hiyo mtoto mkaree 😹