Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooooh kuna ninii tenaa paleee? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Taratibuu basi, huyu ni mwanakwetu, sasa ikawaje akatutokaaa??
 
Haya haters mje mtoe comment 😹😹
Msisahau na dimple pia ninazo ila trako sasa ndo km hivyo mpk nijibinue..!! 😹
Rangiii uduguuu rangiii, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hayaa kina mwamfula, mlikua mnasema watu wanaringia rangii, haya njoeniii muoneee kituu hikiii hapa.
Hakihitajii maelezoo, kinajielezaa chenyewee.
Watu weuweeeeeee!!! Udugu akew mimi huyoo.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Ooooh kuna ninii tenaa paleee? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Taratibuu basi, huyu ni mwanakwetu, sasa ikawaje akatutokaaa??
Mwanakwetu anazingua big time sema mi nikapotezea si unajua kugombana na watu wangu wa karibu naona michoresho..!!

Yani yule zimwi kawajaza wengi chuki wakati hawahusiki..!! Matraco yake ndiomana ana minyonyo km mashalove 😹😹😹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ km nani? Mke wa Iyobo?
Kwanini vita yake asambaze kwa wenginee??

Uduguu vibayaa hivyooo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We nae utafanya nijinyonge so mi kua mweusi dhambi?πŸ˜”
 
Waje waje waache kujificha 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…