Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Ila mie kwenye ile shengesha, nilichoka kumbe mtu na shost ake wanazungukana, shost akiwa chuga, chimamy anaenda GYM na mio,πΉπΉ Yule naye mchokozi yeye alipewa huduma gani na Mio?
Kwanza ndoa yake lini na CH wapambe tukapige vigelegele πΉ
Nipo salama kabisa mkuu karibu utubariki sabato iende vyemaMie Niko poa kabisa,sijui wewe??
Wengine tulishawazika wanataka tuwafufue πΉπΉπππ uduguuu, watu wanatafuta Vibe Selfika, na wanakuta vioo vimefungwa, kurudi wanashindwaa, wanabaki kuchokaa, watu hawageuzi kisogoo atii, ni mbele mbeleee.
πππ
Nimeingia humu at the right time, classmate pita basi niburudike.Oooops! Nimechelewa
Hajalud tuuπBaga na moyo.
Sina jipya.Nipo salama kabisa mkuu karibu utubariki sabato iende vyema
Tusi/Tausi mwenda pole asiyechosha kumtizama akiwa kwenye mwendo wa maringo.Jichagulie tusi braza kakaππ
It's a weekend wamama hawajaenda makazini.Hajalud tuuπ
πππ si ndiwooo!! Afu sisi kwetu ni shereheeee,, kila siku ni burudaniiiiiiii.Wengine tulishawazika wanataka tuwafufue πΉπΉ
Mi nachoka wanaogopa kuselfika eti tutaona πΉ
Sa kwa pics gani za kutushtua maisha yao yenyewe 2-9 πΉ
Asipoharibu kwenye nguo basi bra mbovu..!!
Em wakakojoe walale woteee knyoko zaooo πΉπΉ
Naogopa macho ya watu sister π«£Nimeingia humu at the right time, classmate pita basi niburudike.
ShesRise_1 tupe kitu, tuchangamke π
Watu gani buana, mbona humu tupo mimi na wewe tu π πNaogopa macho ya watu sister π«£
Sema kweli dearWatu gani buana, mbona humu tupo mimi na wewe tu π π
Class mate!!! Mate!!! Nitapita tu na ntakuita.Nimeingia humu at the right time, classmate pita basi niburudike.
ShesRise_1 tupe kitu, tuchangamke π
Wewe mwanakwetu na ujanja wako wote unajazwa chuki za kishamba na wewe unademka..!!
Pitaa mwanakwetu, sijawahi kukufuma alooo.Class mate!!! Mate!!! Nitapita tu na ntakuita.
Ila nitawaomba hawa genz wasinisasambue na huu uzee.
Wallahy vile π πSema kweli dear
Sawaa sawaa mkuu mchana mwemaSina jipya.