Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sura ya kibabe, sukuma moja hiyo🤣
Unaona umeanza kunijaza, ni mwendonwa kujazana mibichwa tu selfika🤣
Mimi huwa sijazi watu uongo, nikiona mambo hamna huwa napita kimyakimya tu.
Msukuma pure au umechanganya
 
Kuna siku nilikuta sifa zimemiminwa page mbili balaa, hmm nikasema labda kweli, uweeh siku nikafuma kinachosifiwašŸ„²šŸ¤¦šŸ½ā€ā™€ļø
Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu hujui?šŸ˜‚
Kuna siku nilikua nipo kwenye daladala naenda chuo, kwenye gari kulikua na mabinti wawili wamesimama nikiwazngalia hawajazidi 15yrs.
Mmoja alikua mzuri sanaaaaa muda wote namuangalia, mwenzake yupo kawaida halafu kavaa kitom boy flani hivi.

Niliposhuka na wao wakashuka, nikashindwa kuvumilia nikawasalimia nikamsifia yule mzuri nikamwambia wewe ni mzuri sanaaaa! Akawa anacheka huku anaona aibu.

Yule mwingine akawa kimya mpaka nikajishtukia ilibidi nimsifie tu na yule mwingine.
 
Back
Top Bottom