Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzee zile za pima kiuno chini kadilia uliziacha mwaka gani😃

Wazee ndo ilikuwa zenu
Hahaha...........Wazee wengi tulikuwa tukivaa suluali bwanga miaka ile huku kichwani tukiwa na afro 🤗

Hii suluali kwenye picha, tulivaa maalumu tulipohudhuria tukio la kuapishwa kwa mtoto wa Chifu mwezi Januari mwaka 47 🤭
 
Nimekuwa kama mzee giggs, ujanani winga alipokuwa anamalizia akawa anatumika tumika ndani..
Sasa hivi napiga pasi hata DOBI haniwezi
Mkongwe mkongwe tuu kuna mwamba tunamwita Babu Pirlo kitaa😃age go kitambo kwenye game siku akija wote mnapoteana dimba mpk pumzi iishe ndo mnaanza kuonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…