Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,054
- 33,745
Pumbavu nini me nimekutenga saa ngapi fala penzi lenu nimeshasema nipo na nyie mpk muuane😃😃Ndugu zangu wananisaliti hadharani, familiya imenitenga 😂🙌
Pumbavu nini me nimekutenga saa ngapi fala penzi lenu nimeshasema nipo na nyie mpk muuane😃😃Ndugu zangu wananisaliti hadharani, familiya imenitenga 😂🙌
Nimekwambia bibi yangu mjane nitakupatia 😂Razorblade ukipata baby ya pili nigaie moja mwanangu hali mbaya huku 😃
Twalilino nkamu😃
Pass receiver hauendi na muda unalag mno.Hakuna pasi hata moja iliyofika zote zimekuwa intercepted, kwa ufupi pasi zote mbovu 😂
Familiya 😂🙌Au umempiga juju 😃 maan hasikii kitu siku hizi
Code inazingatiwa😂🙌🏾Pass receiver hauendi na muda unalag mno.
Sawa mkubwa.Ndugu zangu, naacha simu kubwa , natoka na kitochi nimeitwa LINDO sehemu inaitwa Tipsy kula mma kdg
Shenzi🤣🤣Nimekwambia bibi yangu mjane nitakupatia 😂
cheka hivyo hivyo 😄 mpka siku utakapo ibiwa😂😂Nimecheka
Nipo na wewe mpaka wakuueFamiliya 😂🙌
Seliiii, seeelyy, selly, Seli k,
Kichwa chako😃😃
Tuko pamoja mkuu 😂🤠😂🤠😂Ndugu zangu wananisaliti hadharani, familiya imenitenga 😂🙌
Acha man it's chai completely 🤣Chai Man 😂🙌
Sawaa mzeeNdugu zangu, naacha simu kubwa , natoka na kitochi nimeitwa LINDO sehemu inaitwa Tipsy kula mma kdg