Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
😀😀😀😀Nimelia mno Shem🥺ila mapenzi uchizi nasikia labda kaupata kwa kukupenda wewe😃😃
😀😀😀😀Nimelia mno Shem🥺ila mapenzi uchizi nasikia labda kaupata kwa kukupenda wewe😃😃
Muulize hiyo ya mwaka gani aliyotuma kama sio afu moja mia ngapi hukowe nimemuona bado yanki kabisaaa,, usinipotoshe dogo😬
hata sielewi kwa kweli😅Leo tumekutwa na nini😃
Au umempiga juju 😃 maan hasikii kitu siku hizi😀😀😀😀
Shule zimefungwa na ndio wanaamka saa hzsi hawa gen z wanataniana😅😅
😆😆😆😆Razorblade ukipata baby ya pili nigaie moja mwanangu hali mbaya huku 😃
Braza nakusalimu😃😂🤠😂🤠😂
Usiku mwema babu.Naona Gen Z wa JF wameamka, niingie kibanda changu Cha ulinzi
Domo langu zito mkuu😆😆😆😆
Watt wakali wamejaa huku , mbona unaniangusha
Achana na mimi 😂Shikamoo braza
Wewe mwenyewe Mtumishi,mtoto mkali😆😆😆😆
Watt wakali wamejaa huku , mbona unaniangusha
Alf tisa mia kenda😆😆Muulize hiyo ya mwaka gani aliyotuma kama sio afu moja mia ngapi huko
Me Gen Alpha Babu Gen Z hao wengineNaona Gen Z wa JF wameamka, niingie kibanda changu Cha ulinzi
Khalas 😂🙌Its chai man completely 🤣
win-one umeona hiiView attachment 3601345@win-one Natumia web.
Hiyo emoj inamaliza kila kitu mamaa.
Hadi upofu wa Razorblade kwa wog
![]()
nimejenga na ukuta kabisaAu mmegombana🙄kila mtu kageuka upande wake
😀😀😀nyie bila juju mbona hamtuliiAu umempiga juju 😃 maan hasikii kitu siku hizi
Tulud kwetu aseeehata sielewi kwa kweli😅
Ndaga 🙏🙏Wewe mwenyewe Mtumishi,mtoto mkali