Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,054
- 33,745
Kibabu na bintiNtakuita kibibi.
KIbabu na kibibi > Dizasta vina
Kibabu na bintiNtakuita kibibi.
KIbabu na kibibi > Dizasta vina
Babu=kibabu nipo hapakibabu atakua nani sasa 😎
Au mnapigiana voice call na kutumiana voice note me sijui
Vijana wa siku hizi ndo namna wanavyotongoza hivyo, anaanza vizuri halafu ili kuweka msisitizo anamsema mwana 😂😅😅😅😅 nimecheka aloooh
Achana na mimi braza bado nalia😃Hili kumbe nalo fala eeh 😂
😂😂Nimechekaalf young brother anajizima data 😅
hebu tuwafokee wakalale😅Shule zimefungwa na ndio wanaamka saa hz
Nitakushangaza.Me sipo kaka
Mimi ni Non Aligned Movement (NAM)
Basi atatukuta 😂🤠😂🤠😂 Mexico kwenye world cup tour😃😃 yupo Senegal bado
DaahYes yes big brother Africa 😃

WarlDkibabu atakua nani sasa 😎
Hahahahahebu tuwafokee wakalale😅
Nyote mnabebishana hapo 😂mimi tena😥
Chai Man 😂🙌Umeamka na hilo penzi leo
Khalas😃
Jf ni keyboard, na wewe ni keyboard worrier sasa udomo zege umeingiaje😂Hujaelewa nini Baba Win one