Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa mimi starehe yangu ni uteute ule wenyewe, niloweke hasa had kengele nazo zilowe(nisame kwa lugha ngumu)
Hayo maji kwa kweli mimi hapana kuloweshana, tunaanza tena kugeuza godoro mara tukaushe karaha
Nimechekaaa 😹😹😹
Ila wewe jamani una mineno kumbe? 😹

Eti mikengele nayo ilowe 😹
Watu mnapenda mchezo mbaya..!!
 
😹😹😹 Mimi nakupa umbea bure sitaki return yoyote..!!
 
😹😹😹 Nitasaidia kupaza sauti uachiwe
Thubutuuuuu!! Fisi wa katavi sahivi wana njaa hatarii, hata wakirushiwa kiatu wanapita nacho, sembuse mnofu.
Wee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…