Selfika na JF: Snap it. Show it

Poleee mahiii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unalala sana mpk unapitwa nawe 😹😹😹
Mwadui beibii vumbi tupu..!!
Nachoka sana mimi kila nikiangalia pa kuchambia sipaoni kmmk walllaq 😹🀣🀣

coca em nibless weekend yangu iwe buruuudaaa!!
Kwaniniii vumbii sasa nawee? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumekua Kakonkoo atiii?? Woiiiiiih
 
😹😹😹 Sitaki wewe si una mchepuko ziwani..!

Yani chino unataka kuniletea yutiayi sugu mimi na vichocho? πŸ˜₯😹😹

Baki huko huko baridi liwapulize na demu wako..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tupia picha G nikuone basi πŸ˜€
Sijawahi kuwa na picha maana kila anayejaribu kunipiga picha, camera yake huungua. Tatizo la kuwa na sura mbaya hilo. Hivyo sina picha yoyote na naogopa kujipiga picha isije hii simu niliyopewa kama zawadi ikaungua. Nina uhakika ikiungua, sitaweza kuingia tena JF maana ni ngumu sana kupata mfadhili. Uwezo wangu Binafsi wa kumiliki smartphone haupo, na baada ya mafuta kupanda kila mtu ni bahili wa pesa yake. Nasema uongo wajameni - kwa sauti ya Kenyatta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…