Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilichelewa wapiii jomoniii mahi, kumbe napitwaa na mambo mazurii huku, watu na blauzi zao za viwangoo,
Levels up beibiiii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu kwanini Mwadui sasa? Alooooh
 
😹😹😹 wewe muda wote unalima huna likizo?
Chino mi nakupa talaka na hiyo talaka lazima niikatie sare nije kuifata nishakuchoka..!! Mwanaume gani upo km kakakuona? Unaonekana kwa manati..!!
Chino anafungiwaga huko migombani juu ziwani, si anae anae naniiiii hukooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Twende tukaingalie Gemu ya chama langu la Arsenal hapo juma mosi nasikia wanna big screen.

Inabidi tuwe wote watoto wa Mariam saula wasije wakani paparukia! Na kunipeleka sijui kule wanapopaitaga V.i.p.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chino una vibwekaaa weyeee, Aloooh
 
Chino anafungiwaga huko migombani juu ziwani, si anae anae naniiiii hukooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeh udugu usinambie!! πŸ™†β€β™€οΈ
Kapachino wewe umeanza kudate wanawake wa ziwani huogopi chunusi wewe?? 😹😹😹

Yani chino wa kunicheat na wanawake wa ziwani kweli? πŸ˜₯
Nimelia sana udugu..!! 😭😹😹😹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilichelewa wapiii jomoniii mahi, kumbe napitwaa na mambo mazurii huku, watu na blauzi zao za viwangoo,
Levels up beibiiii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu kwanini Mwadui sasa? Alooooh
Unalala sana mpk unapitwa nawe 😹😹😹
Mwadui beibii vumbi tupu..!!
Nachoka sana mimi kila nikiangalia pa kuchambia sipaoni kmmk walllaq 😹🀣🀣

coca em nibless weekend yangu iwe buruuudaaa!!
 
Hakuna sehemu nzuri nzuri!! Ulipie hata KIREMBA. Namimi nitulie town.

Si unajua baridi linakuja Hilo mwezi wa sita
😹😹😹 Sitaki wewe si una mchepuko ziwani..!

Yani chino unataka kuniletea yutiayi sugu mimi na vichocho? πŸ˜₯😹😹

Baki huko huko baridi liwapulize na demu wako..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…