Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,627
- 83,253
ni kawaida sana ukiwa unajifunza kupika online!Napenda sana kupika vitu tofauti ila sasa hicho kipaji ndo sina.
Jana usiku nimepika kachori nikatoa vitu vya ajabu
Leo nimepika keki ila badala isikike sukari inasikika chumvi