Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Mimi natumaga mpaka na sura na si futi, pekua huko juu utaziona.Huku mnatuma miguu tu
Seflika sasa uzi unoge
Mimi natumaga mpaka na sura na si futi, pekua huko juu utaziona.Huku mnatuma miguu tu
PowaMambo
Mi umri umeenda kaka picha mpk nipekue fbMimi natumaga mpaka na sura na si futi, pekua huko juu utaziona.
Seflika sasa uzi unoge
Nakukimbiaje tu baba mtakatifu?Siku hizi unanikimbia
HeeeeNjoo tutumiane na picha
ndio mana utaki kuselfika?Mi umri umeenda kaka picha mpk nipekue fb
Weekend njemaPowa
HahahahaHeeee
Makubwa na picha tena???
Baby kakataa
Tayana nimevutiwa na weweHeeee
Makubwa na picha tena???
Baby kakataa
Kwako pia! Ila ungepita kidogo mkuu..Weekend njema
Nilidhani nimempata lazizi kumbeNakukimbiaje tu baba mtakatifu?
Pole amekukataa?Nilidhani nimempata lazizi kumbe
Nipo Rafiki,hapa napitia maoni ila sioni selfie,mmekua selfish badala ya selfieKwako pia! Ila ungepita kidogo mkuu..
DahPole amekukataa?
Aliyo 😃Pole amekukataa?
Khaa! Hebu pita tuko wawili sasa hivi..Nipo Rafiki,hapa napitia maoni ila sioni selfie,mmekua selfish badala ya selfie
Hahahaha, uhakika?Khaa! Hebu pita tuko wawili sasa hivi..
Nimekuona unarusha ndoano samaki haelewi😅Aliyo 😃
Uhakika!Hahahaha, uhakika?