Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,015
- 13,351
Yangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengiZamu yako selfika
Labella umeelewa?Yangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengi
๐น๐น๐น Kuweka emoji kazi ujueOngezaa mrembo mkali ๐
Nimefuta Ila imebaki we angalia utaona.!!Kama umefuta picha hakuna ushahidi
Hakuna picha, nafuta comment piaNimefuta Ila imebaki we angalia utaona.!!
๐น๐น๐น๐ ๐ Ambition plus anasema mmefungu njia ya kufika ulipo ili nichukue hiyo rangi matata
Sema basi tujue kazi yake ๐น๐ ๐ au basi
Mbona mimi sina na kufuli nimeweka jamani..!!humu kuna watu na watu wao ๐
Makufuli lazima
Weka bana au unamuogopa wifi ataanza kukuuliza tukikusifia? ๐น๐น๐นYangu nitatuma ila sio sasa, nikianza kujpiga picha maswali yataanza kuwa mengi
๐๐๐น๐น๐น
Lini utatuma nijiandae kukuona?Labella umeelewa?
OkayHakuna picha, nafuta comment pia
๐น๐น๐น Kumbe?
na fanyia sana, hadi mtu anatetemekaa kama tetemeko la ardhi na hizi zingine za ziada ๐๐๐น๐น๐น Kumbe?
Na wewe unazifanyia hiyo kazi?
Kikubwa maisha yanasongaBinadamu utawaweza basi, wewe potezea..!!
Soon ๐Lini utatuma nijiandae kukuona?
Line yetu ya Ttcl ziliisha?Bill yako mkuu majukumu yako๐๐
Hizo za baadae ๐๐Line yetu ya Ttcl ziliisha?
Ana Hela za akiba huwa anatunza yeye anakataaje๐hebu aje kwanza alidhie ili nipate nguvu ya kuchagua ๐
Unakosea sasa๐๐๐พHizo za baadae ๐๐