Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mjinga weeh!!
Basi akupe hata ya Exim tajirii.
Au tukupe account ya CRDB ya dollar.
Si unatuma dollar ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nitumie ya dollar basi, japo hizo bank za ushirika ( wakulima ) bank za boom hizo, sio hadhi yako kabisaa.. ๐Ÿ˜
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Mjinga weeh!!
Basi akupe hata ya Exim tajirii.
Au tukupe account ya CRDB ya dollar.
Si unatuma dollar [emoji81][emoji81]
Dollars anazisikia redioni na kuziona wakati wa taarifa ya habari kipindi cha Bureau De Change.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti enheee!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Jitahidi, endelea kunata na beat..!!
๐Ÿ˜ nikupe connection ya Kamal, role model wako, akupe dondoo zanguu.. naona kama una mashaka mashaka huki nimejitokeza bonge la bwana..
 
Wee Mpopo, ni Tapeli kutoka Abuja mtaa gani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wasi wasi wa nini muhandisi.. Ujue mie no senior kwenye gape nimeshakuwa consulant hadi bank ya dunia.. usichukulia poa.. kiutani utani mtapishana na ma dollar
 
Wasi wasi wa nini muhandisi.. Ujue mie no senior kwenye gape nimeshakuwa consulant hadi bank ya dunia.. usichukulia poa.. kiutani utani mtapishana na ma dollar
[emoji23][emoji23][emoji23] Wee tusha sanukaa, huu mchezoo aseee!! Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ