Naoa mwaka huuπππΎπ»π»π»π»π» woooww
Edo kama Edo awwwww uko muhanshamu π₯π₯
JF ina wakaka wazuri afu wa mwaka wa mbele..!!
Aiseee Edo umeoa?
Mbona km vitu vyangu kabisaa..!! ππ
Na kama fukuza mwambie mademu wapo wengi wanaonielewa..!! πΉπΉπΉScreeshot takenπ―
Mtu wa maana weweπ«
Na nikamuoneshe hii aache maringo sasaπππΎ
Usioe wewe bado mdogo utazeeka na majukumu bhana..!! π»π»Naoa mwaka huuπππΎ
..............
Nitamalizia
Kumbe unajua kishauriπ€Usioe wewe bado mdogo utazeeka na majukumu bhana..!! π»π»
Screenshot nitakayomuonesha haina comeback atachangamka sasaππNa kama fukuza mwambie mademu wapo wengi wanaonielewa..!! πΉπΉπΉ
Huyu chini anaonekana k
TushamalizanaTayana bado hajafika?
Tayana-wog acha kumsubirisha babu basi πΉ
π€£π€£π€£π€£utajua hujuiSasa ole wako ulete issue km za korosho mpk leo mmeniachia manyoya..!! πΉπΉπΉ
Km ulikuwepo yaaniπππNdio ujieleze vizuri na uwe na sababu ya kueleweka unaenda kufanya nini huko..!!
Nyie watu wa makanisani hiyo fursa ndio nzuri unasepa mazima. Siku ya kurudi unawaacha wenzio unazama mtaani..!! πΉπΉπΉ
π€£π€£π€£π€£Huyu chini anaonekana k
Ila juu sielewi π€«
Wakati nikiendelea kutafakari nani alikua tapel kati yenu nianze na salamu kwanzaKumekuchaaaπ€£π€£π€£π€£
Walipeana breakπIv ili penzi lipo me nikajua lilikufa 29 Oktoba πππ
Aya walud sasa waendelee kuyajengaπππWalipeana breakπ
EwaaaπAya walud sasa waendelee kuyajengaπππ
Akibisha naleta Screenshot πππEwaaaπ
Kijana Hadi alianza kupenda animation ππ
Sio tu kuwa msimamizi, alisha jipa hadi umiliki wa eneo na baadhi ya vitu.πΉπΉπΉ Alitaka kuwa msimamizi ili mtaabike..!!
Ila ndugu jau sana, mi mpk leo tumezinguana mirathi ya mzee na bro angu mkubwa..!!
Nikazira nikawaachia sasa hivi mahakama imewaambia waniite tuamue kwa pamoja nimegoma na namba nimebadilisha..!!
Mambo ya mali mnaweza kuuana hivi hivi wakati aliyezitafuta kaziacha..!!
Ushahidi hatujawahi poteza π sie wemaππΎAkibisha naleta Screenshot πππ