Kimbia haraka kabla babu hajadondoka kwa arosto..!! ๐น๐น๐นKhaaaa๐๐๐๐
Ungekuja tu chumban moja kwa mojaKweli sikupambi bhana, weka mikato ya mambele..!!
Unavaa Jordan OG tunaanzaje kukushushua?
Kuishi NYC peke yake tayari wewe umetushushua sisi..!! ๐น๐น๐น
Haya jisnap sasaNipoo sanaa.
Tupia nipo hapa Edo upite naked tuko wawili tu! ๐นHamjamaliza tu kuselfika wakuu๐
Zamu yangu sasa.
Bado upo?Tupia nipo hapa Edo upite naked tuko wawili tu! ๐น
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃduhWewe tena passport imechafuka hivi sasa hivi hujampita chui kweli? ๐น๐น
Nimefika๐๐๐๐๐๐Kimbia haraka kabla babu hajadondoka kwa arosto..!! ๐น๐น๐น
Na makucha yake ๐Kumekuchaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nimefika Fanya jambo ๐ฅ๐ฅBado upo?
Ndio uongee na babu kwa sauti ya kwanza ili upewe visa ๐น๐น๐น๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃduh
Ila tuache utani
Hiv kwann balozi ya kwa babu wanaringa jmn, duh
Yaani wanataka watu tubaki malawi kweli
Namshukuru MunguNa makucha yake ๐
Uko njema lakini? Embu nibless kidogo.
๐คฃ๐คฃ๐คฃmwanetu ile haina cha kujuana wala nnNdio uongee na babu kwa sauti ya kwanza ili upewe visa ๐น๐น๐น
Ewaaahhh!! Mwali wangu sio msungo wewe. ๐Nimefika๐๐๐๐๐๐
๐คช๐คช๐คชmi mzungu wa rohoEwaaahhh!! Mwali wangu sio msungo wewe. ๐
Mizungu umejua kuitumia ๐
Niko njema kabisa, sasa naingia kufanya nini humu na wakati mshangazi wangu kuwa active kwa manati na kutumia VPN kuna changia kutoingia mara kwa mara humu.Namshukuru Mungu
Niko poa
Sijui ww...
Ulipotea
Aah mshangazi mie sinaga pic sikuhizi๐๐คฃ๐คฃ
Labella