Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji81][emoji81][emoji81] ASHA JIBWA AJIRA PORTAL

Mwembe raduu [emoji81]

Uduguu matraco yako nimecheka mpk watu wananishangaa..!! Utaviminya mpk vilie fyuuuuu!!!
Vimekuwa tairi linatoa upepo au [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unauaaa!! Dhambi hizo ujue.

Eeh mwembe raduu Au Tuamoyoo kulee, Vin hayo ndio maeneo yake, sasa huko si kuna vizee vya kidigo na kisambaa, vichawi na viganga hatariii, nijikute napewa kazi ya kuosha misukuke mie nataka sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Wee pumbu za wazee zimesinyaa ukiminyaa zinaliaa fyuuuh, za vijana na wababa ukiminya zitalia puuuu! Ujue baaasss. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapuuzi tu!
Mi ninachoona nao wanatamani kufanya hivyo ila wanajificha kwenye mwamvuli wa usengenyaji..!! [emoji81]
Tena udugu kwa sahivii sio uongoo, hiyo Industry wako wengi mnoo. Tena ogopa yule anayejifanya kuwaka akisikia hizo habari, ndo muhusika anajistukiaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Coca Ntakubonda 😹😹😹😹😹😹😹
Unafanya watu wanione nimechizika asubuhi yote hii..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mie ananiachaga hoi na [emoji406] zake, hawezagi kuandika bila kuweka PDF. yaan lazima liwe nusu gazeti.

Afu alisemaga ana kijana wake yuko chuo, ko ntahakikisha najiweka kwa mwanae ajikute mie mkwewee, send off Msamala, Ndoa Washington DC,
Uduguuuu nimetoboaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Coca Ntakubonda [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Unafanya watu wanione nimechizika asubuhi yote hii..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] kwelii vilee nakuambia uduguu, hujawahi fika hukoo??
 
Tena udugu kwa sahivii sio uongoo, hiyo Industry wako wengi mnoo. Tena ogopa yule anayejifanya kuwaka akisikia hizo habari, ndo muhusika anajistukiaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi sana!
Tena wale wanaobeza na kujifanya marijali wengi wao ni wafanywaji wanahisi km Siri zao zitatoka wanaogopa macho ya watu..!!

Rijali hahitaji kujionyesha km yeye rijali public.
Maneno yake na muonekano wake utamtambulisha bila kutumia nguvu..!!

Ila hii ya kujifanya sijui mrekebishaji rika mara kujitia wewe unajua mashoga wote. Aiseee hao ndo wenyewe..!!

Humu JF hata watu wenye akili zao kina kiranga hukuti wanaongelea pumba km hizo.
Njoo kwa hawa town by bus wanya vichakani midomo mirefu 😹😹😹😹
 
Umenikumbusha kitu nimejikuta nachekaa hapaa hadi nahisi kupaliwaa khaaah.

Ukiwaona km watuu, kumbe Vizibo vishafunguliwa na meno wala sio opener. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mikosi pacha utakua nayo tu ya ukoo wenu lakini sio kwa starehe za wengine bhana!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Shangaa wee hapoo, mtu hahusiki nae kwa chochote asingizie mikosi.
Nachokaa mie aaah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
😹😹😹😹
USA baby na emoji yake ya πŸ–•πŸ€£
Nyani phaller sana!!

Kwahiyo humtaki baba mtu tena unamtaka mtoto?? Uduguu huo sasa umalayer 🀣😹😹
Mimi najua naenda kuishi kwa shem, wewe tena unapindua meza bongo kabla hujahakikishiwa visa 😹😹😹
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwelii vilee nakuambia uduguu, hujawahi fika hukoo??
Sijawahi aloo!! 😹😹😹
Mbona mitaa km ya Sumbawanga ndani ya Dar? Waganga na wachawi tena kigamboni?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kuyatindinganyaa tuu, mwendo wa ngirii.
Sasa kwa baba mtu ntapata ndoa kweli? Mie naisaka ndoa kwa mwana ujue.
 
Umenikumbusha kitu nimejikuta nachekaa hapaa hadi nahisi kupaliwaa khaaah.

Ukiwaona km watuu, kumbe Vizibo vishafunguliwa na meno wala sio opener. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Wamefunguliwa na nini?
Na meno si unaweza kuvunja chupa yenyewe sasa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…