Hekaheka za mabwana wa JF sizitaki. πΉπΉ[emoji23][emoji23][emoji23] Mabwana wa JF nawaweza ila sio wa uke wenzaa??
yaan mie ndo Main Chick. Ndio maana sina shengeshaaa.
Wanaume wako uraianii mahiii, ni wakalii kikudaaa. Awww!!
Swadaktaaaa shemuuu. Nawee pia.Muwe na siku njema wakuu, mm naenda offline kwa muda.
Picha zangu OG zikitumwa zisifutwe Mpaka nizione otherwise muwe na J2 yenye utulivu wa akili na roho zenu [emoji3590]
Basi fresh!!Haya poa mkuu
Yule wa kikuu πΉπΉPK wa kutokea Alibaba, [emoji23][emoji23][emoji23]
πΉπΉπΉπΉ Ila JF jamaniMparee mbona kisukari kingii? Kulikonii? Watu wanakujua na pic zako OG wanazo, hizi ulizoleta sio. [emoji23][emoji23][emoji23]
"Raha ya bwana JF akuweke Public, sio kukuficha km Bangii"Hekaheka za mabwana wa JF sizitaki. [emoji81][emoji81]
Raha ya kuwa na bwana JF akuweke public lakini anakuficha km bomu ndo nini??
Mi nnaye wangu huku uraiani hata JF haijui inafananaje [emoji81][emoji81]
Na Jana tulikuwa wote down town live band
Hatariiiiii [emoji23][emoji23][emoji23]Yule wa kikuu [emoji81][emoji81]
Sana, JF ukitaka kuiona chungu we weka mpodido pm na date wanaume wa humu lazima upandishe kisugar πΉπΉπΉJF inachekesha ikiwa huna shengesha za mipodido PM na varangati za uke wenzaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Haipoi wala haiboi, ni wewee tuu unataka iwajee, na inakua unavyotakaaaa.[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Ila JF jamani
πΉπΉπΉ Nitakupa uduguuFanyaa kunipasiaa kidogoo atiii? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mida ndo hii sisi tumejaa tele, mambo ya kutupia watu tuko offline hatutaki.Vitu vishukeee mda ni huu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Shida sio wanaume wa humu mahii, ni wee mwenyewee unadate na mwanaume yupii? Km ni zoa zoa kuliko sabuni enyewe, basi kupandisha gkukosi ni kugusa tuu.Sana, JF ukitaka kuiona chungu we weka mpodido pm na date wanaume wa humu lazima upandishe kisugar [emoji81][emoji81][emoji81]
Ahh wapi, nilikuwa naota jua tu πpPopo for life sahii unaota ndoto ya 6 ππ, uko hoi taaban
Nasubiriii atii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Nitakupa uduguu
π₯°π₯°π₯°π₯° Shem wangu huyooooNi mrefu, dark, na handsome, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ba tamu angu ni Lizuriiiiiiii bhanaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu taratibuuuu.Mida ndo hii sisi tumejaa tele, mambo ya kutupia watu tuko offline hatutaki.
Anayejiamini hapigi kelele, kijora cha buku mbili unajikuta mayeleeee [emoji81][emoji81]
Haya waweke tuone
Afu sasa ba tamu sio Zoa zoa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] Shem wangu huyoooo
Uduguu unajua kuchagua huuziwi ronya..!!
Tuishi humo."Raha ya bwana JF akuweke Public, sio kukuficha km Bangii"
Umetishaa mtaniiiii!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kombe ni langu na nimechukuaaa!! Hiii imeendaaaaaaaa!!!
Watuuu weuweeeeeeeeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baaaaasiiiiiiiii!! Kwiiiiiishaaaaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Tuishi humo.
Na raha ya bwana wa JF awe na pesa na star [emoji81][emoji81][emoji81]
Hao wengine GUDUBAI