Fanya jambo pacha, pita naked Leo nna muda wa kutosha. πUwe na njonzi njema rasi, popo for life.
Wog mwenye vogue zake em bless asubuhi yangu basi π₯°π€£π€£sawa
Nitakugaiyaaa mwayaaa
Acha tumalize ibadaWog mwenye vogue zake em bless asubuhi yangu basi π₯°
Sijaenda jana nilikuwa live band moja hivi hapa nimeamka nimefanya mazoezi nimenuna πΉπΉAcha tumalize ibada
We si ushatoka misa ya 1
π
Mi bado kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli Tin aje, mie nilimpenda pia kwa kwelii.[emoji81][emoji81][emoji81] Tin nilikua nampenda mpole Ila chini ya carpet m-bad [emoji1787]
Alikua na English tramu JF sijaona, Tinsley njoo mahi nimekumiss.
Uduguu mdai Shem na wewe ukanunuliwe vyombo..!! [emoji81]
Watakuwa wapo humu kwa I'd zingine, JF huwezi kusepa mazima kamwee. LolDuh nyie
watu mlilala sangapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noma sn hivi hizo id ziko wapi nimezikumbuka
Wapi mlongo unalima? Kwetu kule kule au??Msimu wa mvua my diha nalima
Haswaaa!!Huyo hata mimi nimepitisha ni mtu kweli sio robot [emoji81]
Kwanza mrembo kakamilika kila sekta ushindwe wewe kuwekeza pesa zako..!!
Aje Tin jamani..[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli Tin aje, mie nilimpenda pia kwa kwelii.
Wog wa moto sana.Haswaaa!!
Nimepita sana jana usiku π si umeona lakiniChica nimeona do ze needful π
Leo usinidanganye nasubiri hapa!!
π π nawe umelipa eenh?Unakumbuka ile siku umejibanza unatuzoom tunavyojidhalilisha eehπ
π π ππmnalala sana tatizoNimepitwaajee mahi diha, napenda kuona Rasii, [emoji8]
Nimekuta manyoya, selfika sasa hivi nikuone bana..!! πΉNimepita sana jana usiku π si umeona lakini
Polee, π π kwishaaa wewe muulize Intelligent businessmanEh em hiyo picha nitumie private, nililala mapema hvy sijaiona π
π π π awapi sahivi mambo ni mengiNimekuta manyoya, selfika sasa hivi nikuone bana..!! πΉ
Popo for life sahii unaota ndoto ya 6 ππ, uko hoi taabanUwe na njonzi njema rasi, popo for life.
π₯²πNever play you nintendo, uko cute kabisa.
Mbona mnaselfika kwa uoga? πΉπ π π awapi sahivi mambo ni mengi