[emoji23][emoji23][emoji23] wee Rasi unakuaje mpolee, mie najuaga ni watata sana.[emoji1787][emoji1787] naogopa hekaheka za Jeifu nisije anza kulia bure na hivi siwez jielezea
Nakuona unanyapia pacha. Komaa uchukue chuma hiko ๐ฅ๐ฅAnd I shall be there to bear witness of the queen wearing the crown.
KwakweliKabisa asee hizi hekaheka shengesha wanaweza kina coca na lamomy na fake p๐คฃ
Weka hiyo mashine, tena hiyo ndo yenyewe sasa ๐ป๐ฅ๐ฅ๐ฅUtafanya niposti mashine sasa, we mwenyewe selfika tuone
Acha uoga binti. Haya tupia for me ๐ป๐คฃ๐คฃ naogopa hekaheka za Jeifu nisije anza kulia bure na hivi siwez jielezea
Nakuambia ukweli bro, hy n mbaya, kausha nayo kwa simu yako tuu inatosha.Umeanza uchawi?
Usiniambieee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Hujaona ile iliyopita ungechizika
Na mimi mnipe nisafishe macho๐คฃ๐คฃ Ni ile ile sijui Coca kaona kwa nani?
Nitapigwa ban pacha, ila nita kutumia usijali ๐Weka hiyo mashine, tena hiyo ndo yenyewe sasa ๐ป๐ฅ๐ฅ๐ฅ
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona hapa hapa mbonaa. Lol[emoji1787][emoji1787] Ni ile ile sijui Coca kaona kwa nani?
Ndiyo inahitaji uvumilivu, sema mimi nazipenda, Utunzaji wake gharama kidogo zikiwa ndogo, zikishakuwa ndefu hivi gharama zinapunguaDuuh kumbe yahitaji uvumilivu eeeh? Vipi utunzaji, na nasikia pia kuna baadhi ya vyakula haitakiwi kutumia? Je ni kweli?
Powa nimekuelewa dogo, sema wengine sisi kukaa na kitu hatuwezi usingizi unaweza usije aseeโน๏ธNakuambia ukweli bro, hy n mbaya, kausha nayo kwa simu yako tuu inatosha.
Sirudii tena naogopa wanasave ๐ฅฒAcha uoga binti. Haya tupia for me ๐ป
Hupendagi amani kabisa, full kulipuka uharibuNakuona unanyapia pacha. Komaa uchukue chuma hiko ๐ฅ๐ฅ
Muda kantri kafanya yake[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona hapa hapa mbonaa. Lol
Kaza Mtoto wa kiumePowa nimekuelewa dogo, sema wengine sisi kukaa na kitu hatuwezi usingizi unaweza usije aseeโน๏ธ
Ila ntajitahidi
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น[emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii wakaka ni wazuriii humuu, nguvu ya kukataa kuweka mpodido unatoa wapiii? Aweee!!
Nimemiss kina Babu miga na Wige, sijui wamepotelea wapi na mavazi yao mengine humu hatujafanikiwa kuyadaka. Lol
Umesahau Babu miga heka heka zake? [emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani sanaa niwe na Rasii, nweiii nitakapokuwa tayari nitakufata unipe muongozo sahihi. [emoji120]Ndiyo inahitaji uvumilivu, sema mimi nazipenda, Utunzaji wake gharama kidogo zikiwa ndogo, zikishakuwa ndefu hivi gharama zinapungua
Kuhusu Vyakula ni kwa wale wenye imani yao mimi binafsi nyama nakula vizuri tu sababu ni kama nywele tu za kawaida.
Ewaaaah!!Muda kantri kafanya yake
Mimi ni mpole siwezi hata kujielezea nisije anza kulia bure ๐๐คฃ.[emoji23][emoji23][emoji23] wee Rasi unakuaje mpolee, mie najuaga ni watata sana.