Selfika na JF: Snap it. Show it

My wii canada hii au hii ya nanjilinjj usinipeperushie ndegewangu Mungu kanipa nyongeza mm ni nani nimkatae kiumbe wake[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mbona nyongezaaa?? Nini lakinii shangaziiii?
 
Aaliyyah
Shangaziiii hilo shapee sijalizoeaa, umelitoaa wapiii??
Leo Selfika imekuchaaa! Vitu vinashushwa vya viwango kabisaa.
Nimeipenda hiyo skuna, [emoji8]

Shangaziii uko [emoji91][emoji91][emoji91]
Yani selfika imewakaa leo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Tayana-wog
Mama mtumishiiii, hizi codes unatoaga wapiii??
Tishaaa kinoumer noumer!! Yaan ni [emoji91][emoji91][emoji91]

Selfikaaaaaaaaaaaa!!! Mambo ni yenteee yenteeee!!
Tunazima zoteee, tunawashaa pichaa za leoo. [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Looo nimecheka leo
Shemeji yako hana bayaπŸ˜ŽπŸ€£πŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…