Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,761
🤣🤣🤣😎unajua kupamba km kweli vileKeleuwiiiiiiiiiii nyie selfika imerudi ipo mikono salama. Hizi pic za leo Tayana utafanya tulale huku tuna smile ndotoni 😻😻😻
Miss selfika wetu umetishaaaaaa 🔥🔥🔥
Wewe nilikwambia tulia kwa bro upewe mapenzi ya kikinga. Ukadanganyika ukakimbia 😹😹😹Nimekuham pia my wii kaka hajambo natak mchepuko wa zamani mpya hekaheka sitaweza 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] naogopa km nini kuumwa jino hasa ya mbelee.Uking'oka jino moja tu red card [emoji23][emoji23][emoji23]ill
Picha zipo wapi? Mbona naona sifa nyingi alafu picha sizioni?Afu kajazia hips, yaan shape iko sehemu yake, umbo no 6. Chezeaa wewee.
Mama mtumishi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Umeanzaaa!! Umeagizwaa?? [emoji23][emoji23][emoji23]Moyo wangu umeenda mbio sana, huyo aliyekupenda natamani kusikia alikua ni mwanamke [emoji3525][emoji30]
PoleeeSijaona naomba na mm nisafishe macho puliiiiii🤠
“Kamsemee kwa babaake” 😹Jiwekee tu kwa mzee wa "inasikitisha sn"🤣🤣
Umechelewaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Picha zipo wapi? Mbona naona sifa nyingi alafu picha sizioni?
UmepitwaaaPicha zipo wapi? Mbona naona sifa nyingi alafu picha sizioni?
We uliona wapi wakaka km hao wanaachwa....in bwege voice😃😃😃“Kamsemee kwa babaake” 😹
Hapo mimi nitajiweka iwe anataka au hataki.
Hatuwezi kuwaacha wakaka wazurii km hawa wapite tu km upepo..!! 😜
Weusi hatuna kwere 😎Una nn wewe lkn🤣🤣🤣
Wallah hata modes wenyewee Leo hapo Mikocheni JF HQ wanakenua tuu kuona membazi wao wa viwango wanawakilisha selfikaa.nasubiri ushushe vitu
Kitambo sn sijakuona[emoji41][emoji2]
Ila coca eti seva za jf zitingishike
Coca mdogo angu, niongopee tu kuwa alikua ni mwanamke kidogo moyo utaacha maumivu 😩Umeanzaaa!! Umeagizwaa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
😃😃😃😃Wallah hata modes wenyewee Leo hapo Mikocheni JF HQ wanakenua tuu kuona membazi wao wa viwango wanawakilisha selfikaa.
[emoji91][emoji91] [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nimenyoosha mikono juu uduguu 😹Ninaenda ki ulalo ulalo mie, hawanisumbuiii. [emoji23][emoji23][emoji23]
Katisha sana 🔥🔥Afu kajazia hips, yaan shape iko sehemu yake, umbo no 6. Chezeaa wewee.
Mama mtumishi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekaniii, lazima wapewe faraja na tulizo la nafsi zao.“Kamsemee kwa babaake” [emoji81]
Hapo mimi nitajiweka iwe anataka au hataki.
Hatuwezi kuwaacha wakaka wazurii km hawa wapite tu km upepo..!! [emoji12]
Jitahidi hivyo hivyo akikuacha nitakurudisha kwa mulasilPoleee
Baby hataki usiku sahivi😃😃
Kweli mimi sinaga unafki Tayana kwenye white white, black black 😹😹😹🤣🤣🤣😎unajua kupamba km kweli vile
My wii canada hii au hii ya nanjilinjj usinipeperushie ndegewangu Mungu kanipa nyongeza mm ni nani nimkatae kiumbe wake😂😂😂Wewe nilikwambia tulia kwa bro upewe mapenzi ya kikinga. Ukadanganyika ukakimbia 😹😹😹
Mumeo yupo anakusubiri na kuna siku aliniulizia, hivi yule shosti ako uliyesema utaniweka mbona kimya? Nikamwambia alipata scholarship yupo Canada 😹😹