Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona kma unanisema mimi kuna kijana huku mtaani akicheka nasema hii jamani dental formula nyie wenzetu vipi mbona sisi km panya au ndo wale wa dakika za jiooon 😂😂😂
 
🤣🤣🤣🏃🏃🏃eti ba mtumishi duh nimecheka sn
Labella
kwakweli anajua kutunza ba mtumishi🤣🤣
Keleuwiiiiiiiiiii nyie selfika imerudi ipo mikono salama. Hizi pic za leo Tayana utafanya tulale huku tuna smile ndotoni 😻😻😻

Miss selfika wetu umetishaaaaaa 🔥🔥🔥
 
Mbona kma unanisema mimi kuna kijana huku mtaani akicheka nasema hii jamani dental formula nyie wenzetu vipi mbona sisi km panya au ndo wale wa dakika za jiooon [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] yule mtu eti alinipenda kisa meno yangu, yaan daah.
 
Keleuwiiiiiiiiiii nyie selfika imerudi ipo mikono salama. Hizi pic za leo Tayana utafanya tulale huku tuna smile ndotoni [emoji76][emoji76][emoji76]

Miss selfika wetu umetishaaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91]
Afu kajazia hips, yaan shape iko sehemu yake, umbo no 6. Chezeaa wewee.
Mama mtumishi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…