Maandalizi ya nyanya, carrot za kusaga, kitunguu na pilipili hoho...View attachment 1287915
Napokupendaga hapo tu Dada huwa hujibani kwenye maisha. Ni full kujiachiaZa jioni??View attachment 1287882
Kuchemsha vitunguu hadi viwe vya rangi ya kahawia...
Then unachanganya pilipili hoho na karoti then unaacha vichemke kiasi...
View attachment 1287944
SalamaaaaaZa mida wakuuView attachment 1287900
Marahabaaa Kijana..Hujambo?Sawa shikamoo mama
Hahaha...unajifanya unauza msala sioCha msingi silipi mimi mkwe, hivyo heri tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utashangaa unaunguza hiyo mboga
Hapana chezea kwa hali hiyo wanawake kuolewa waende kwa mwamposa wakatubuMaandalizi ya nyanya, carrot za kusaga, kitunguu na pilipili hoho...View attachment 1287915
Baada ya nyanya kuiva kiasi chake nitaweka beef curry masala kiasi ili kuleta ladha nzuri kwenye nyama...
View attachment 1287964
Duuuuuh hotel management ilihusika ama niniMchanganyo wa vitunguu, pilipili hoho na carrot pamoja na nyanya...
Tia chumvi kiasi then acha vitokote pamoja huku ukiwa umefunika ili nyanya ziive vizuri ili zitoe mafuta yake...
View attachment 1287951
Naam...coz the summer is hereHaswaaa,December fever imeanza ,kdg kdg
Bahati nzuri ninae wa kunilipia, basi shwariiii. We mlipishe tu mkwe.Hahaha...unajifanya unauza msala sio
Huku JF hakuna mtoto kila mtu ni mkubwa, umri ni namba tuJF imeanza miaka 13 iliyopita...now tell me kwa walioanza na JamboForums huyu mwenye ako na 20yrs sasa, back then alikuwa ako na miaka mingapi...
Do the math, halafu sema kwa nini asiitwe mtoto
Nahitaji mafunzo me serious yani etiBaada ya nyanya kuiva kiasi chake nitaweka beef curry masala kiasi ili kuleta ladha nzuri kwenye nyama...
View attachment 1287964
Piere hujambo?[emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]saa hii niko hiviView attachment 1287968
Nauelewa Sana unanoga sukari baraa, hasa ugemwe kwenye mbeta iliyokomaa vizuriHahahaha, ndio mwenyewe huo
Mkuu nitakuwa natembelea jukwaa la mapishi kuchukua maujuzi mara moja mojamzee baba tafuta madarasa ya mapishi...msosi wako utatoka very plain...
HahahahaNauelewa Sana unanoga sukari baraa, hasa ugemwe kwenye mbeta iliyokomaa vizuri
Sijambo kabisaMarahabaaa Kijana..Hujambo?