humo humo kwenye hadithi ndo mnapitiamoHayo mambo wazee hatufanyi mjukuu
Sisi ni kusimuliana hadithi tu za mwaka 47 basi ๐
muongoNimesha tupia na nimefutaa..
Naweka tena mara ya mwishomuongo
Sio kwa mzee mimi mjukuuhumo humo kwenye hadithi ndo mnapitiamo
sawaaa,Naweka tena mara ya mwisho
aiseee๐๐๐
๐๐๐ Umeiona eeeeeeee semejaa ๐aiseee
nigawie tu nyama beiby๐@Dr 4 am 4 real PHD
sitaki๐๐๐๐ Umeiona eeeeeeee semejaa ๐
Semejaaa ๐๐sitaki๐
umeniudhiiiiiiiSemejaaa ๐๐
Naweka hapa Sasa iviii for you.umeniudhiiiiiii
Hapa akija muoaji, bila koti la babu kutoka Italy siruhusu mjukuu kuolewaBabuuuuu๐คช๐คช
kajua kukuvuruga babu yangu,, poleee nani alikutuma uzaliwe miaka ya 70 huko๐๐๐ saivi ungekua unajitafunia mifupaHapa akija muoaji, bila koti la babu kutoka Italy siruhusu mjukuu kuolewa
Mjukuu anaweza kufanya wazee tupoteze network kabisa๐
Kwa kweli leo imekuwa bahatina umwambie awe anakaa standby ili asipitwe hata kula kwa macho tu
kwa kweli jamni๐๐Kwa kweli leo imekuwa bahati
Nitamweleza atafute miwani ya macho kama yangu kwaajili ya kuendelea kuona wajukuu walivyo wa-hot humu ๐
Kwa kweli wazee hatuna bahati kabisa, tungekuwa tuna meno tungejitahidi hata kidogo....ila kwa uzee huu ni kula kwa macho tu ๐kajua kukuvuruga babu yangu,, poleee nani alikutuma uzaliwe miaka ya 70 huko๐๐๐ saivi ungekua unajitafunia mifupa