Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 821
- 1,501
[Emoji28] afu usiku uliita nikaja ukapotea ghafla! nikasema nijiliwaze na ShesRise_1 naye akasepa! nikabaki mpweke, nililia sana.we Emily kwan unalalaga mda gani? usiku wa manane ulikua macho na saivi bado upo active kwan we ni robot
Sisi tumeshazeeka mjukuu, hizo protein hazina shida kwa wazee 😜sasa protein zikiwa nyingi si utamtesa bibi jamni🤭😆
Mbona hajafika sasa 😂 wakati mwenzie nilishajiandaaMbibi wa babu huyo yupo njiani anapeleka kiko
We subiri usitafute hayo mazaga aliyokuelekeza win-one kabra bibi hajafika kitakulamba😅Mbona hajafika sasa 😂 wakati mwenzie nilishajiandaa
Akili babu ohooooBora umeniambia mapema, maana nilishaanza kutafuna mazaga 😂
Ningepata aibu babu yenuAkili babu ohoooo
Ungedhalilika asieee😅Ningepata aibu babu yenu
Kutembea na kitu imesimama muda wote wazee hatungeweza vumilia 😜
kama nakuona🤭😅😅😅Ningepata aibu babu yenu
Kutembea na kitu imesimama muda wote wazee hatungeweza vumilia 😜
Unaipamba bangi mpka unatoa ka ulimi njee🤪Sacred weed😋
Hahaha........kweli wajukuu ninaoUngedhalilika asieee😅
Nawe ndio daktari wakeakuuu mi sijamuelekeza kasema daktar wake ndo kamshauri👌
poleeee leo tutakuwepo usijali emily[Emoji28] afu usiku uliita nikaja ukapotea ghafla! nikasema nijiliwaze na ShesRise_1 naye akasepa! nikabaki mpweke, nililia sana.
Mimi nimezeeka kila kitu mjukuu 😂kama nakuona🤭😅😅😅
nipo sameja hebu pita🤗Leo napita shwaaaaaaaaaaa
Ukiwa hewani nambie
Wajukuu wenyewe 😅😅Hahaha........kweli wajukuu ninao
Ngoja niwe nakaza msuli wangu vizuri kuogopa aibu ndogondogo 😂