binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,150
- 40,886
Dah uzi wetu nimeugaya š„²Safi sana , selfika hata kiduchu
Dah uzi wetu nimeugaya š„²Safi sana , selfika hata kiduchu
Kwa niniDah uzi wetu nimeugaya š„²
Vibe tuKwa nini
Zimua kidogoVibe tu
Katoto mwaaaaš
š„°š„°Katoto mwaaaaš
Haha muone!binti kiziwi , unakimbiza vibaya sana , wana wa visiting singidaniš¤
Noma sana , sema unafuta chap sanaš„°š„°
Sure , singidani kuna chuma sio mchezo , mtoto mwaaa sana wewešHaha muone!
Wewe fala sijui kwanini nimefungua ignore yako , ila nimeitoa sasa kwanini unasema wauwawe?šWanawake wazuri wauwawee
sasa wa kazi gani mkuu ?Wewe fala sijui kwanini nimefungua ignore yako , ila nimeitoa sasa kwanini unasema wauwawe?š
Hahahha unatafuta pesa halafu unataka vitu vibayaš š š hivi nili ku ignore kwa sababu zipi bwashee ebu nikumbushe ila utakua ulinitukana au ni chawa wa mamasasa wa kazi gani mkuu ?
ndio chanzo cha matatizooo hao watu wazuri
Kufaaaaaaš¤£š¤£Shindii ukitaja hela , nasikia kama nakufa , niache nilewe tu
Shindii kipenz changu unataka nife kumbeš„²Kufaaaaaaš¤£š¤£
Hakuna mkuu, sijawai tukana mtu wala hukunitukana ni kutoelewana kimitazamoo...Hahahha unatafuta pesa halafu unataka vitu vibayaš š š hivi nili ku ignore kwa sababu zipi bwashee ebu nikumbushe ila utakua ulinitukana au ni chawa wa mama View attachment 3580917
Nikae upande wa wageni wa naiiiiš¤£Shindii kipenz changu unataka nife kumbeš„²
Hahhaah sawa bwashee, ila wanawake wazuri kama hauna pesa kaa nao mbaliHakuna mkuu, sijawai tukana mtu wala hukunitukana ni kutoelewana kimitazamoo...
Wanawake wazuri ni tatizo sana mkuu, ni chanzo cha majanga mengi.. Hela ina mambo mengi mazuri yanayoweza kukupa raha... Ningekuwa na amri wanawake wazuri wote tungewachoma moto