min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 50,953
- 142,282
Kwani we sio mdau😀Selfikeni wadau
Mimi sitayari huko juu😀Kwani we sio mdau😀
Huko nitazima Ras 😀
Hahaha kuna vinono hauwezi zimaHuko nitazima Ras 😀
Hivyo vinono sioni hata kimojaHahaha kuna vinono hauwezi zima
Hapa kuna counter saba nje ndani nnje ndani kwa nnje zaidi kuna mpaka nyama ya ngamia na mbuni😀Hivyo vinono sioni hata kimoja
Shindii nikuone chap mama la mama😀Tulia shindiii, ngoja nifungue makabrasha sasa.
Kaah Nyama za Ngamia na mbuni?Hapa kuna counter saba nje ndani nnje ndani kwa nnje zaidi kuna mpaka nyama ya ngamia na mbuni😀
Hahahaha samaki mkubwa kutoka kila kona ya dunia utapata kwa bill yangu rasi😀Kaah Nyama za Ngamia na mbuni?
Hapo nikija nitakunywa tu maji 🙆♀️😀
Abeee kaka
Fanya kuni bless mlevi mimiAbeee kaka
Duh nakuja chap🤣🤣🤣
Tulia hapa hapa usitoke.Shindii nikuone chap mama la mama😀
Hapo labda nitajaribu 😀Hahahaha samaki mkubwa kutoka kila kona ya dunia utapata kwa bill yangu rasi😀