min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 51,607
- 144,543
Hahhaah sawa bwashee, ila wanawake wazuri kama hauna pesa kaa nao mbaliHakuna mkuu, sijawai tukana mtu wala hukunitukana ni kutoelewana kimitazamoo...
Wanawake wazuri ni tatizo sana mkuu, ni chanzo cha majanga mengi.. Hela ina mambo mengi mazuri yanayoweza kukupa raha... Ningekuwa na amri wanawake wazuri wote tungewachoma moto