Hakuna anayeshindana na mpumbavu! Tunawaonesha kuwa hakuna anayewaogopa kama wanavyojigamba humu! Huo udhaifu sijajaaliwa! Mshipa wa woga nilikatwa kitambo sana! Siangalii unalinganaje aisee! Nyie mnaojiheshimu mtupishe kidogo tusio na heshima!πNaangalia kuku wanvyo chokoa chokoa mchele kwenye ardhi.. bona wanakaonea hako katoto Depal.. ila jf ila makulumbembe aiseee.. Msishindane kwenye maisha na watu waliopoteza thamani ya utu wao .
Kwaheli, ila kama wana kapiga hako katoto kweli hao watu ni wabaya sana, inabidi niwachape fimboo.. sasa upo sinza na hutaki kupitia hapa kituo cha polisi mabatini unisalimia afande mkojani ππ.. nikupe ubuyuHakuna anayeshindana na mpumbavu! Tunawaonesha kuwa hakuna anayewaogopa kama wanavyojigamba humu! Huo udhaifu sijajaaliwa! Mshipa wa woga nilikatwa kitambo sana! Siangalii unalinganaje aisee! Nyie mnaojiheshimu mtupishe kidogo tusio na heshima!π
Nakujua kwa umbea, nipo jirani saluni hapa! hujambo utanipigia unimalizie zile habari za buza ni kama za kweli hiviπ€ nilijiuliza sana how comes matajiri yanatoa macho hivi kumbe hakuna cha biashara wala niniπ€£Kwaheli, ila kama wana kapiga hako katoto kweli hao watu ni wabaya sana, inabidi niwachape fimboo.. sasa upo sinza na hutaki kupitia hapa kituo cha polisi mabatini unisalimia afande mkojani ππ.. nikupe ubuyu
ππ Habari ni nyingi sanaa na ni verified naweza kukushtua kwa taarifa nzito nzito.. Maliza pendezea uje kituoni hapa, nikupe hot newsNakujua kwa umbea, nipo jirani saluni hapa! hujambo utanipigia unimalizie zile habari za buza ni kama za kweli hiviπ€ nilijiuliza sana how comes matajiri yanatoa macho hivi kumbe hakuna cha biashara wala niniπ€£
Nagandaπππ Habari ni nyingi sanaa na ni verified naweza kukushtua kwa taarifa nzito nzito.. Maliza pendezea uje kituoni hapa, nikupe hot news
Mnataka kufanyaje tena mahiπMama umeniacha kwenye mataa umeingiwa woga eeh? win-one
Achia kitu ulaze watu na viatuπ€£ hujisikii kuzungumziwa?
Na haka ka jioni hapa kuna supu ya uduvi, nikutunzie na chapati za mtama ππNagandaπ
Sawa napita..ππ½
Usiniache kwenye mataaa ya ubungo sasa.. kuna jambo nikufunulie kama ufunuo ππNagandaπ
Sawa napita..ππ½
We nae kumbea et ππUsiniache kwenye mataaa ya ubungo sasa.. kuna jambo nikufunulie kama ufunuo ππ
ππ imeniuma kuona ID ambazo hatujuani wala hatufahami kuona zinatukanana.. hivo humu Jf watu huwa mnakutana hadi nje ya utani utani hapaWe nae kumbea et ππ
Ndio mbona watu wanakutana ni issue ya kawaida sijui why JF mna ikuza mnoo hii habari ya kujuana πππ imeniuma kuona ID ambazo hatujuani wala hatufahami kuona zinatukanana.. hivo humu Jf watu huwa mnakutana hadi nje ya utani utani hapa
Naomba na wewe tukutane basi kama ni rahisi na ili tujuane na kufahamiana ππ.. Humu Jf kila ID naona kama ya mafwele au TISS tu, siamini kabisa kukutana na mtu wala kuonana aiseeNdio mbona watu wanakutana ni issue ya kawaida sijui why JF mna ikuza mnoo hii habari ya kujuana π
Kwa nini unaogopa π usiogope amini tu ila chunga usikutane na kilaza kitakulamba watakufwele kweliNaomba na wewe tukutane basi kama ni rahisi na ili tujuane na kufahamiana ππ.. Humu Jf kila ID naona kama ya mafwele au TISS tu, siamini kabisa kukutana na mtu wala kuonana aisee
acha niendelee hivi hivi jf ..niendelee kuwa invisible .. unaweza kutana na mzazi wako humu alafu ushamtukanaa ππKwa nini unaogopa π usiogope amini tu ila chunga usikutane na kilaza kitakulamba watakufwele kweli
Mi mwenyewe nishanunua maadui kama hatujakutana zamani saivi aku ππacha niendelee hivi hivi jf ..niendelee kuwa invisible .. unaweza kutana na mzazi wako humu alafu ushamtukanaa ππ
ππ endeleeni kukutana mje kubakwa na kutupwa huko kwenye machakaaa ππMi mwenyewe nishanunua maadui kama hatujakutana zamani saivi aku ππ
Noma sana πππ endeleeni kukutana mje kubakwa na kutupwa huko kwenye machakaaa ππ
Tunataka kuanika vigagulo vya mtumba lolπ€£Mnataka kufanyaje tena mahiπ
Chapati za muhigo ndio zitanifaa..Na haka ka jioni hapa kuna supu ya uduvi, nikutunzie na chapati za mtama ππ
Nakuelewa hunaga show mbovu! Nakumbuka ulivyowavuruga wakaanza kupoteana ukaibuka na gamba jipya?πUsiniache kwenye mataaa ya ubungo sasa.. kuna jambo nikufunulie kama ufunuo ππ