Kumbe kasoma mipango 😹😹😹Uduguu, hadi hapa CH anamchezea dada Debo, ila yeye hastukiii.
Afu nilisikia kuwa Debo ana Diploma kutoka Chuo cha Mipango, kumbe ni kweliii?
Sasa hapo Bank na uhasibu kivipi? Au Afisa manunuzi? Mbona nachachawa mwwnzenuuu.
Mabwakuuuu!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ma file mengi ya Debo yalikuwepo sema kipindi kile km alikua na kismati kwa waja, shouzz asinge eleweka, ila kwa sahivi kila mtu anajua heka heka za Debo,Yani huyu ndo anafaa sio kuogopana, kipindi kile namwambia shangazi mwaga mboga anaogopa na wakati alikuwa na tupicha twa mwakabinuka kitraco beach [emoji81][emoji81][emoji81]
Nimemwambia nipe mimi basi nimzibe mdomo anatuletea dharau anashangaa matokeo yake wamemuwahi yeye..!! Tukapokonywa ushindi km team pinzani [emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]
Sema karma ipo leo D naye yamemrudia yale yale aliyomfanyia Antonia dah!!
Debo mkurya mbona hiyo mi Naijua kitambo na tulibishana kweli na mtu mmoja nilipomwambia hivyo..!! 😹😹😹Ma file mengi ya Debo yalikuwepo sema kipindi kile km alikua na kismati kwa waja, shouzz asinge eleweka, ila kwa sahivi kila mtu anajua heka heka za Debo,
Afu kumbe Debo ni Mkurya, sio wa kaskazini.
Si alisemaga yeye mixer ya chagga na Meru. Kumbe wa huko ukuryani.
Ila Hii JF mweeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Muda wa kuulizana maswali ni kule kwenye uchochoro wenu hapa ni kumeza au kutapika tuPapa Jeusi ndiyo nini au nani?
Haya tapika yako mwanetu 🤣 !Muda wa kuulizana maswali ni kule kwenye uchochoro wenu hapa ni kumeza au kutapika tu
Tapika ila usisahau pics mambo kwa ushahidi kamanda..!!Muda wa kuulizana maswali ni kule kwenye uchochoro wenu hapa ni kumeza au kutapika tu
Nani ana report uduguu, em aache upuuzi, auache huu uzi utambee na heka heka zake. LolJamani acheni kuripoti basi hamtaki wambea tule ubuyu? Mods acheni hizo bana na nyie msiwasikize wakuda hao..!!
Fake p tuendelee kabla uzi haujafungwa chap chap kamanda..!!
Kamandaa taratibu bas, [emoji23][emoji23][emoji23]Muda wa kuulizana maswali ni kule kwenye uchochoro wenu hapa ni kumeza au kutapika tu
Kuna comment kanikwoti fake p nashangaa imefutwa ila nimescreenshot ni muhimu sana 😹😹😹Nani ana report uduguu, em aache upuuzi, auache huu uzi utambee na heka heka zake. Lol
We fake P huyo D anasema wewe ni bff wa bwanake sasa kwanini unamchunguza na kumfatilia na kumtisha??🤣🤣 Mimi Sina hisia zilisha tangu, str joro, fake attention mnazompa ndio zinamponza. Huyu sio wakumuonea huruma hata kidogo, anatangaza ubaya Hamjui mtu hawezi kujidefend, Lakin Kwan mnamuita debora?
Kwa nguvu na maarifa nitamtetea deppal kwa kila uzushi na uongo unaomzushia🤣🤣 Mimi Sina hisia zilisha tangu, str joro, fake attention mnazompa ndio zinamponza. Huyu sio wakumuonea huruma hata kidogo, anatangaza ubaya Hamjui mtu hawezi kujidefend, Lakin Kwan mnamuita debora?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Mi nilijua muda nikashangaa kajipachika kwa wachaga..!!
Huyo ni kurya.
Mke mwenzio na wewe [emoji1787][emoji81][emoji81]
Sema Debo anajirahisi sana humu kawa km jamvi la wageni ndo nini sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakurya hatuna unyafuzi kama ule ule mwili labda wajaluo na wazanaki, au wakwaya
Amezushiwa neno Gani? Be specific naona utanichelewesha lakinKwa nguvu na maarifa nitamtetea deppal kwa kila uzushi na uongo unaomzushia
Maumivu uliyopata tafuta remedy kwingine. Umekua mtu uliyechanganyikiwa
Kama kwao kupo hivyo, kwenu kupoje?
Kwenu kupoje? Hapo kna ubaya gani? Mnaongea usengerema mtupu.Mke mwenzangu kwa M debo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Debo hapoi wala haboi, ni chama la wanaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Fake life kweli wala sio uongo, si unaona hapo kwao hata tinted kashindwa kuweka, anapatwa na msiba anashindwa kuwaambia mashost zake wakamfariji Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila JF unakua unachotakaaa.
😹😹😹 Bartasar usije kuwa ni CH umepita mlango wa nyuma.!.!Kwa nguvu na maarifa nitamtetea deppal kwa kila uzushi na uongo unaomzushia
Maumivu uliyopata tafuta remedy kwingine. Umekua mtu uliyechanganyikiwa
Kama kwao kupo hivyo, kwenu kupoje?
[emoji23][emoji23][emoji23] unatunza masijaraaa, ila uduguuu.Kuna comment kanikwoti fake p nashangaa imefutwa ila nimescreenshot ni muhimu sana [emoji81][emoji81][emoji81]
Yote uliyoandika ni uongo. Mimi namfahamuAmezushiwa neno Gani? Be specific naona utanichelewesha lakin