Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole weeh mimba ya CH sio miongozo..!!
Na fake P aliwaka kwanini kafichwa hilo?

Ilitoka sababu Fake P alisema anamtafuta kokote aitoe hiyo mimba [emoji1787][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii mimba ilitoka yenyewe haikutaka ipitie heka heka za kutolewa na bunduki?
Mbona mambo ni mengi hiviii humu ndanii, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Fake P haolewi bwana jana kasema anamuoa Debo [emoji1787]

Fake P sema mbabaifu sana kwann katudanganya? Yani sitaki kuamini km anamuogopa Debo kiasi hiki dah!!
Udugu nakuambia hapa CH hamuoi Debo, utakuja uniamini mie.
Wenzio Debo ni king'ang'a kwa huyo bwana, na hapo anatafuta mbinu ya kum dump, huwajui wanaume wee, ukute yote haya Fake p na CH wanatumia njia wamfukuzie mbali Debo na asistuke.

Ni vile wake wenza wa Debo huwa sijui wanapatwa na nini, wana chachawa tuuh,

Utasema mbona wana fata fata, ni vile hajui kunyima, sasa nikuambie hapa kati ni majuzi tyuh tena akiwa na CH kwenye relation, km Mr miongozo angekaza bas wangerudiana.

Ngenga za Waja wa JF. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fake P hajamtaja ila kasema atakuja kumtaja ila ndo huyo kakimbia hajaleta team uwanjani saa 5 hii [emoji81][emoji81][emoji81]

Mdomo tu, vitendo aaahh
[emoji23][emoji23][emoji23] yuko Lindoni bado, au CH kamkataza kuja kuyamwaga hapa.
Ukute wapo huko wanabembelezana, jana zamu ya Debo, Leo Fake P, tena wao wanabembelezana Kambini hapo je??
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii mimba ilitoka yenyewe haikutaka ipitie heka heka za kutolewa na bunduki?
Mbona mambo ni mengi hiviii humu ndanii, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
Kijusi kiliogopa risasi 😹😹😹

Ila Debo ana balaa sana..!!
 
Basi Debo mjinga anatumia km toilet paper inatakiwa ajitafakari atachezewa hovyo mpk lini? Nilishangaa miongozo alivyotaka kujirudisha na yeye akakubali chap lol! 😹😹

Pale ndo nilipomuona haziko timamu kichwani, yani mwanaume kaku dump karudi kwa koloni lake pamoja na shengesha lote walilomfanyia shangazi lakini bwana kabaki..!!

Leo anataka kuja kukukojolea unampokea!!
Kweli tumetofautiana wengine hawajui kujicontrol na nyege..!! 😹😹😹

Sasa kwa fake P CH kampanga sio demu wake ni bff wake na yeye kakubali..!!

Hapa Fake P naye hajielewi km anaruhusu huu upuuzi wa kuchezewa na mwanaume na kukanwa mchana kweupeeeee mpk kumfata mke mwenzie na kujifanya anamshauri km dada yake jinsi ya kudrive husiano lake na watu wa kuchat nao humu JF..!!
 
Ulikuwa wapi kamanda mbona umechelewa sana 😹😹😹
 
Machache sana unayoyajua na Mimi vita yangu imebase kuirekebisha akili ya huyu dogo. Ile kei imelegea mashavu yamedondoka Hana option call zote anaitika ..twende mdogo mdogo picha kwa ushahidi Zina shuka by number
Woyoooooo Kamanda kafika wa mwaka wa mbele kachafuka minyota 😹😹😹

Shusha shusha vitruuu..!!
 
Wanaume si watu uduguu, famchezo ninii. [emoji23][emoji23][emoji23]
Debo ataishiwa kuchezewa tyuuh, haolewii kamwee.
 
Ita mashangazi wake wote, baba na mama wadogo na wakubwa kaka na dada zake wote.Sitaki familia atokee wakusimuliwa.
Papa jeusi limezagaa PM analeta nyodo,[emoji3064][emoji3064]
[emoji23][emoji23][emoji23] kamandaa umechafukwaa ama nenee.
 
Na ukiwapa wanaichezea kweli ohooo!!
Anaishia kupewa sifa za kijinga mtundu kumbe analika hovyo na kuachwa..!!
Uduguu, hadi hapa CH anamchezea dada Debo, ila yeye hastukiii.
Afu nilisikia kuwa Debo ana Diploma kutoka Chuo cha Mipango, kumbe ni kweliii?
Sasa hapo Bank na uhasibu kivipi? Au Afisa manunuzi? Mbona nachachawa mwwnzenuuu.
Mabwakuuuu!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anamwaga na ushahidi juu, huyu ndo mpinzani halisi wa Debo, sio shouzz yule muoga muoga.
Chezea kamandaa weyeee!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani huyu ndo anafaa sio kuogopana, kipindi kile namwambia shangazi mwaga mboga anaogopa na wakati alikuwa na tupicha twa mwakabinuka kitraco beach 😹😹😹

Nimemwambia nipe mimi basi nimzibe mdomo anatuletea dharau anashangaa matokeo yake wamemuwahi yeye..!! Tukapokonywa ushindi km team pinzani 🤣😹😹😹

Sema karma ipo leo D naye yamemrudia yale yale aliyomfanyia Antonia dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…