[emoji23][emoji23][emoji23]Nimejikuta nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787],mtu unasamehe Hadi kula kisa Uzi huu[emoji40][emoji119]
Wee ni... Afu umekuja na I'd mpya, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila uzi uliibeba JF huu, Ban zinatembea km njugu, na watu hawajari wala nini.
Lol.
Me nani? ๐๐คฃWee ni... Afu umekuja na I'd mpya, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23] ila JF, woiiiih.
ARV mechanism of action๐,,, hizo pm 44 huwa mnachart vinini na wakina nani?
Ety ARV Mechanism Daaah acha tu,ARV mechanism of action๐,,, hizo pm 44 huwa mnachart vinini na wakina nani?
nishakushtukia mwanetu๐ ๐Ety ARV Mechanism Daaah acha tu,
Ni katika hali ya kutaka kujua Mambo Ya dunia....
Pm zingine sifunguagi hivo ni za mda mrefu sana zingine.. Ila yanayojadiliwa mengi ni mambo ya Jinsi gani naweza pata mishangazi kutokea huku gongo la mboto ahahahhaha
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐nishakushtukia mwanetu๐ ๐
[emoji23][emoji23][emoji23] JF kila siku koti jipya, Dr yule yule.Me nani? [emoji23][emoji1787]
Mji Una masharti mpk ufanikiwee ๐น๐น[emoji23][emoji23][emoji23]
๐น๐น๐น Nikikumbuka zile ban km utitiri ile siku nacheka sana..!!Nimejikuta nimecheka๐คฃ๐คฃ๐คฃ,mtu unasamehe Hadi kula kisa Uzi huu๐ท๐
๐น๐น๐น Mnapelekwa vacation kunywa chai ya rangi?hivi yule figo kumbe alikua njemba? nimelia sana๐ญ๐ ,,,
lakin naomba umuache shemeji yangu kashaangukia kwa shoga angu asije akagaili kutupeleka vacation jamni๐คญ๐,,
chai ya rangi shem wangu naomba usimsikilize Lamomy zile picha za majuzi zilikua za kweli buanaaa๐
Hivi wale mods waliahama kituo cha kazi? ๐น๐น๐น๐น[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila uzi uliibeba JF huu, Ban zinatembea km njugu, na watu hawajari wala nini.
Lol.
Kwahiyo una msikilizi Lamo halafu unaniacha ๐ค๐๐๐basi ngoja niendelee ku zoom
mimi ni mgeni huku nina mwezi 1 tu kwaiyo lazima nisikilize nawenyeji wangu kina LamoKwahiyo una msikilizi Lamo halafu unaniacha ๐ค
Si ungesubiri kwanza twende vacation ๐et chai ya rangi mbona huna misimamo ๐