Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimepona vzr tu...
Leo nipo sehemu moja hv kuna interview ila naona kabisa sitoboi nakutana na watoto hao mpaka napagawa mimi..

Napagawa mimi mwenzenyu nashindwa zuia hisia zangu kwa hawa wadada hapa kabisa an aiseee
tamaa zitakuua mdogo wangu🤣🤣🤣 unahitaji maombi
 
badae sitokuwepo we nambie saivi tuyamalize😄
Yule mdada niliyemuomna namba kanichek hapa..

Kiufupi tayari ni wapenzi aiseeee Mungu akunyimi vyote just imagine nimekosa kazi ila nimepata chaguo la moyo wangu..

Mtoto anasema mi ni mkaka pole alafu smart sana.

Daaah Mungu mkubwa na anamakusudio yake aiseeee..
 
nimechekaaaaaaaaa😄😄😄😄😄 pumbavu zako,, bado haujapona gono ushakimbilia mwanamke mwingine🤨,, sasa hiyo pisi utaipa nini? au ndo atasubiri hizo mia 5 unazopata ukiwawekea watu movie🤦‍♀️🤦‍♀️ au,ni toto la kishua halihitaji matunzo
 
Sio wa kishua bana...
Angekua wa kishua asingekuwepo pale kuhangaikia kazi za ajabu zile et wanasema jinsi gani ya kupitisha sofa kwenye mlango mdogo.

But all on all haka katoto nasema.kabisa kameteka Moyo wangu aiseeee 💯 🙏..

Naawezela achana na mishangazi hv hv aiseeee alafu ujue nn oya black beuty hii alafu modal rasta mpaka matakoni..

Mi rasta napenda ujue
 
haya mdogo wangu kila la kheri usiache kunipa kadi kwenye harusi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…