nilisahau kama wew ni mlokole๐คฃ๐คฃ๐คฃ ayaaaUkitubu na ukimwi unapona hapo hapo.
Win nipo na hali mbaya sijui shida nini.Poor Brain baba mishangazi nakusalimia wew na yule ndugu yako๐คญ,, mnitag kwenye ule uzi siuoni tena
wenzako waliamua kuacha uzinzi mwezi mtukufu ila we ukaendeleza kila baada ya kufuturu,,, pole mtuwangu get well soon nenda maabara wakakudunge powerself moja ukunywe na cefixim plus dox utakua sawaWin nipo na hali mbaya sijui shida nini.
Yaani nikikojoa kama nakojoa moto ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Huku panauma nikikojoa ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Mmmh hiyo powerself staki tena ๐๐๐๐ maumivu yale staki..wenzako waliamua kuacha uzinzi mwezi mtukufu ila we ukaendeleza kila baada ya kufuturu,,, pole mtuwangu get well soon nenda maabara wakakudunge powerself moja ukunywe na cefixim plus dox utakua sawa
kuna discharge zinazotoka au ni mkojo kuuma pekeake?Mmmh hiyo powerself staki tena ๐๐๐๐ maumivu yale staki..
Ile dawa nzito kama uji siitaki siitaki sitaki..
Wanasema itakua UTI
Uteeeee mama uteeeeeekuna discharge zinazotoka au ni mkojo kuuma pekeake?
umepona eehUteeeee mama uteeeeee
Uteeeee mama uteeeeee
๐ฅน๐ฅน๐ฅน๐ฅน๐ฅน
Nimepona vzr tu...umepona eeh
tamaa zitakuua mdogo wangu๐คฃ๐คฃ๐คฃ unahitaji maombiNimepona vzr tu...
Leo nipo sehemu moja hv kuna interview ila naona kabisa sitoboi nakutana na watoto hao mpaka napagawa mimi..
Napagawa mimi mwenzenyu nashindwa zuia hisia zangu kwa hawa wadada hapa kabisa an aiseee
Yaaan nakwambiaje kama nikipita basi napita nao aiseeee...tamaa zitakuua mdogo wangu๐คฃ๐คฃ๐คฃ unahitaji maombi
uzuri kidudu ni chako siwezi kukupangia matumizi๐คฃ๐คฃ๐คฃYaaan nakwambiaje kama nikipita basi napita nao aiseeee...
Nashindwa vumilia mimi kabisa aiseeeee napagawa mimi
๐๐๐๐๐๐๐๐๐uzuri kidudu ni chako siwezi kukupangia matumizi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
hebu selfika kwanza nione ulivyo tupia huko kweny intaviu
shame on you again and more๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Nipo kwa gari nardi kwetu..
Nimeshindwa washa printer machine shame on me... ๐ฅน๐ฅน๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Nimepata namba ya kadada kembamba
Oyaaa weeeeh ...shame on you again and more๐๐๐
badae sitokuwepo we nambie saivi tuyamalize๐Oyaaa weeeeh ...
Ntakuambia badae kwa uzi wa TAMISEMI ๐๐๐๐๐
Yule mdada niliyemuomna namba kanichek hapa..badae sitokuwepo we nambie saivi tuyamalize๐
nimechekaaaaaaaaa๐๐๐๐๐ pumbavu zako,, bado haujapona gono ushakimbilia mwanamke mwingine๐คจ,, sasa hiyo pisi utaipa nini? au ndo atasubiri hizo mia 5 unazopata ukiwawekea watu movie๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ au,ni toto la kishua halihitaji matunzoYule mdada niliyemuomna namba kanichek hapa..
Kiufupi tayari ni wapenzi aiseeee Mungu akunyimi vyote just imagine nimekosa kazi ila nimepata chaguo la moyo wangu..
Mtoto anasema mi ni mkaka pole alafu smart sana.
Daaah Mungu mkubwa na anamakusudio yake aiseeee..