min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,634
- 164,962
WapiUnasubiri nini? Umeshatoa fungu la 10?
WapiUnasubiri nini? Umeshatoa fungu la 10?
Kwani tunaongelea niniWapi
Nipo kawaida tuKweli leo umelewa!! Sio kwa kujipakulia minyama huko🫢
Khaaa mambo ya kukuita mtamu namuachia Seran
Unajitoa ufahamu eenhe
Si muende tu huko PM 😁 😁
Wacha weeeh 😂
Kijasho chembamba, katoe hela mangi, usiikimbie PM 😂
Hahahaa subiri watamu wake waje, mi sihusiki🙌🏾Khaaa mambo ya kukuita mtamu namuachia Seran, mi sijui ladha yako
Pm ni kwaajili ya miamala tu😂Si muende tu huko PM 😁 😁
Amelewa huyu🥴Wacha weeeh 😂
Nasikia ana msururu 😂Hahahaa subiri watamu wake waje, mi sihusiki🙌🏾
Umesikia Mangi?Pm ni kwaajili ya miamala tu😂
Itakua yupo tipsy kulewa bado!Amelewa huyu🥴
Kwahiyo hapa tuone nini?Selfika yangu hiyo
View attachment 3555025
Ndio ujue mimi msomi sio kanjanja😁😁😁Kwahiyo hapa tuone nini?
Vinaya mnoo🙌🏾Ngoja waje.💃🏽Nasikia ana msururu 😂
Yuko hovess 🥴Itakua yupo tipsy kulewa bado!
Mbona usomi sijauona hapo?Ndio ujue mimi msomi sio kanjanja😁😁😁
Naona hii ni step by step revelation, haya endelea 😁 !
Nikipost maisha yangu mtapata stress acha niwaache 🤣🤣🤣Naona hii ni step by step revelation, haya endelea 😁 !
Unajishuku tu, hakuna wa kupata stress hapaNikipost maisha yangu mtapata stress acha niwaache 🤣🤣🤣
Unaogopa watakupiku na miamala 😂Si mruhusu kidoti wangu aselfike🤗
Wanaweza nipiku na miamala ila huwa sibabaishwi na mambo madogo madogo 😇