win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,806
- 29,864
😄😄😄😄 wao wakiwa na sura za mama inatorshaaWanasema tuna sura za baba😂
😄😄😄😄 wao wakiwa na sura za mama inatorshaaWanasema tuna sura za baba😂
Watugawie mbegu zao tulete za mama😂😄😄😄😄 wao wakiwa na sura za mama inatorshaa
Mbona mmeanza mipasho sasa😄😄😄😄 wao wakiwa na sura za mama inatorshaa
Hatujapendaa😂Mbona mmeanza mipasho sasa
Wanawake hamtaniwi jamani😅
Ibada ya lini boss😂
Katikati ya wiki 😂😂Ibada ya lini boss😂
matani yanayo fanana na ukweli?😄😄😄 hatutakiMbona mmeanza mipasho sasa
Wanawake hamtaniwi jamani😅
Ndio uulambe hivyo? Mi ninavyotokaga kama mwehu na twende kilioni zangu kumbe katikati ya wiki inatakiwa utoke chicha🤭 Au wewe ndio baba mtumishi😁Katikati ya wiki 😂😂
Wenye sura za baba wanapewa naniliu tamu sana.matani yanayo fanana na ukweli?😄😄😄 hatutaki
Hahahaha, kuulamba ni wajibuNdio uulambe hivyo? Mi ninavyotokaga kama mwehu na twende kilioni zangu kumbe katikati ya wiki inatakiwa utoke chicha🤭 Au wewe ndio baba mtumishi😁
Nasubiri ya tatu, nimehesabu mbili tu.
Mbna nimeona moja jmn unanikatili sana😅
weee 3 zimefika,, kuna nyingine nilivaa gauni refuNasubiri ya tatu, nimehesabu mbili tu.
muombe mshamba ametunza scrinshuti🤣🤣🤣Mbna nimeona moja jmn unanikatili sana😅
Khee anataka kuzifanyia nn? Hebu weka mambo hapo binti mrembo!😎muombe mshamba ametunza scrinshuti🤣🤣🤣
Huna deni aiseehaya nimeirudia hii ya binti wa kisabato Seran mshamba_hachekwi
Wife material kabisa😍haya nimeirudia hii ya binti wa kisabato Seran mshamba_hachekwi