Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 12,360 Reaction score 36,469 Feb 22, 2026 #407,581 win-one said: nimeumia mtu katuma picha kwa upendo kabisa kwa ba mtu,, ba mtu nae akili za panzi kaenda kumsimulia rafiki ake na evidensi juu😪😆😆😆😆 si bora asingetuma ushahidi🥴🤭 Click to expand... Mamtu katuma picha kwa mteja! Bora angetuma kwa mpenzi wake kuliko kujiaibisha hivi🤭 Ndio shida ya kulala na vijana wadogo! Ona sasa😱
win-one said: nimeumia mtu katuma picha kwa upendo kabisa kwa ba mtu,, ba mtu nae akili za panzi kaenda kumsimulia rafiki ake na evidensi juu😪😆😆😆😆 si bora asingetuma ushahidi🥴🤭 Click to expand... Mamtu katuma picha kwa mteja! Bora angetuma kwa mpenzi wake kuliko kujiaibisha hivi🤭 Ndio shida ya kulala na vijana wadogo! Ona sasa😱
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,781 Feb 22, 2026 Thread starter #407,582 Seran said: Aisee braza mkubwa Mshana Jr katuondolea uhondo j2 yangu ilikuwa inaenda poa so far😆 Click to expand... Dah😂
Seran said: Aisee braza mkubwa Mshana Jr katuondolea uhondo j2 yangu ilikuwa inaenda poa so far😆 Click to expand... Dah😂
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Feb 22, 2026 #407,583 Seran said: Mamtu katuma picha kwa mteja! Bora angetuma kwa mpenzi wake kuliko kujiaibisha hivi🤭 Ndio shida ya kulala na vijana wadogo! Ona sasa😱 Click to expand... je kama walikua wapenzi ila ba mtu kamgeuka na kumuita muuza K?🙄 wanaume wa jihefu ni watu wa kuogopaa😅😅🤠
Seran said: Mamtu katuma picha kwa mteja! Bora angetuma kwa mpenzi wake kuliko kujiaibisha hivi🤭 Ndio shida ya kulala na vijana wadogo! Ona sasa😱 Click to expand... je kama walikua wapenzi ila ba mtu kamgeuka na kumuita muuza K?🙄 wanaume wa jihefu ni watu wa kuogopaa😅😅🤠
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Feb 22, 2026 #407,584 Mshana Jr said: Dah😂 Click to expand... watu hawaangalii kama tupo kwenye mfungo wanamwaga radhi kama hawana akili🙌🤠
Mshana Jr said: Dah😂 Click to expand... watu hawaangalii kama tupo kwenye mfungo wanamwaga radhi kama hawana akili🙌🤠
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,783 Reaction score 132,071 Feb 22, 2026 #407,585 win-one said: watu hawaangalii kama tupo kwenye mfungo wanamwaga radhi kama hawana akili🙌🤠 Click to expand... Ndio muache kujihusisha kwenye mahusiano na wavulana
win-one said: watu hawaangalii kama tupo kwenye mfungo wanamwaga radhi kama hawana akili🙌🤠 Click to expand... Ndio muache kujihusisha kwenye mahusiano na wavulana
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Feb 22, 2026 #407,586 min -me said: Ndio muache kujihusisha kwenye mahusiano na wavulana Click to expand... nimekoma mimi nimekoma🙌😅😅
min -me said: Ndio muache kujihusisha kwenye mahusiano na wavulana Click to expand... nimekoma mimi nimekoma🙌😅😅
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,781 Feb 22, 2026 Thread starter #407,587 win-one said: watu hawaangalii kama tupo kwenye mfungo wanamwaga radhi kama hawana akili🙌🤠 Click to expand... Siku hizi hakuna kufunga bali kuna kushinda bila kula,😂
win-one said: watu hawaangalii kama tupo kwenye mfungo wanamwaga radhi kama hawana akili🙌🤠 Click to expand... Siku hizi hakuna kufunga bali kuna kushinda bila kula,😂
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 12,360 Reaction score 36,469 Feb 22, 2026 #407,588 win-one said: je kama walikua wapenzi ila ba mtu kamgeuka na kumuita muuza K?🙄 wanaume wa jihefu ni watu wa kuogopaa😅😅🤠 Click to expand... Kumbe tena kunakugeukwa na bamtu na kuitwa muuze uke😂💔🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
win-one said: je kama walikua wapenzi ila ba mtu kamgeuka na kumuita muuza K?🙄 wanaume wa jihefu ni watu wa kuogopaa😅😅🤠 Click to expand... Kumbe tena kunakugeukwa na bamtu na kuitwa muuze uke😂💔🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 12,360 Reaction score 36,469 Feb 22, 2026 #407,589 Mshana Jr said: Siku hizi hakuna kufunga bali kuna kushinda bila kula,😂View attachment 3547270 Click to expand... Nimepata njaa tena babu😂😂
Mshana Jr said: Siku hizi hakuna kufunga bali kuna kushinda bila kula,😂View attachment 3547270 Click to expand... Nimepata njaa tena babu😂😂
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Feb 22, 2026 #407,590 Mshana Jr said: Siku hizi hakuna kufunga bali kuna kushinda bila kula,😂View attachment 3547270 Click to expand... napenda sana makongoro ila nikila huwa nahisi kichefu chefu sijui kwanini😥
Mshana Jr said: Siku hizi hakuna kufunga bali kuna kushinda bila kula,😂View attachment 3547270 Click to expand... napenda sana makongoro ila nikila huwa nahisi kichefu chefu sijui kwanini😥
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Feb 22, 2026 #407,591 Seran said: Kumbe tena kunakugeukwa na bamtu na kuitwa muuze uke😂💔🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️ Click to expand... si ndio,, Kwani mfano hauja uona kwenye deleted poto😅😅😅
Seran said: Kumbe tena kunakugeukwa na bamtu na kuitwa muuze uke😂💔🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️ Click to expand... si ndio,, Kwani mfano hauja uona kwenye deleted poto😅😅😅
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 592 Reaction score 1,498 Feb 22, 2026 #407,592 win-one said: napenda sana makongoro ila nikila huwa nahisi kichefu chefu sijui kwanini😥 Click to expand... Miguu ya ng'ombe.
win-one said: napenda sana makongoro ila nikila huwa nahisi kichefu chefu sijui kwanini😥 Click to expand... Miguu ya ng'ombe.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,783 Reaction score 132,071 Feb 22, 2026 #407,593 win-one said: nimekoma mimi nimekoma🙌😅😅 Click to expand... Endeleani kushobokea vijana wa hovyo tu , nimekaa pale 👉 nakunywa zangu bia za baridi tu😊
win-one said: nimekoma mimi nimekoma🙌😅😅 Click to expand... Endeleani kushobokea vijana wa hovyo tu , nimekaa pale 👉 nakunywa zangu bia za baridi tu😊
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,781 Feb 22, 2026 Thread starter #407,594 Seran said: Nimepata njaa tena babu😂😂 Click to expand... Let me du ze needful😂
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,781 Feb 22, 2026 Thread starter #407,595 Seran said: Nimepata njaa tena babu😂😂 Click to expand... Kuna sadaka ya kilinge hapa nipe mwongozo😁
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Feb 22, 2026 #407,596 min -me said: Endeleani kushobokea vijana wa hovyo tu , nimekaa pale 👉 nakunywa zangu bia za baridi tu😊 Click to expand... nani sasa
min -me said: Endeleani kushobokea vijana wa hovyo tu , nimekaa pale 👉 nakunywa zangu bia za baridi tu😊 Click to expand... nani sasa
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,783 Reaction score 132,071 Feb 22, 2026 #407,597 win-one said: nani sasa Click to expand... Wewe sio mgeni mpaka usijue humu palivyo pa hovyo..,.
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Feb 22, 2026 #407,598 Palac said: Miguu ya ng'ombe. Click to expand... inanichefua sana,, sio miguu tu hata ile harufu ya nyama nikiiskia kwa mtu huwa napata nausea ya hatari
Palac said: Miguu ya ng'ombe. Click to expand... inanichefua sana,, sio miguu tu hata ile harufu ya nyama nikiiskia kwa mtu huwa napata nausea ya hatari
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Feb 22, 2026 #407,599 min -me said: Wewe sio mgeni mpaka usijue humu palivyo pa hovyo..,. Click to expand... naelewa ila nimeshangaa ulivyosema "endeleeni kushobokea vijana wa hovyo",, ndo maan nimekuuliza nani?
min -me said: Wewe sio mgeni mpaka usijue humu palivyo pa hovyo..,. Click to expand... naelewa ila nimeshangaa ulivyosema "endeleeni kushobokea vijana wa hovyo",, ndo maan nimekuuliza nani?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,783 Reaction score 132,071 Feb 22, 2026 #407,600 win-one said: naelewa ila nimeshangaa ulivyosema "endeleeni kushobokea vijana wa hovyo",, ndo maan nimekuuliza nani? Click to expand... Nimesema tu ujumbe kwa wote,mambo kama haya ni udhalilishaji mkubwa na sio jambo la kuchekelea
win-one said: naelewa ila nimeshangaa ulivyosema "endeleeni kushobokea vijana wa hovyo",, ndo maan nimekuuliza nani? Click to expand... Nimesema tu ujumbe kwa wote,mambo kama haya ni udhalilishaji mkubwa na sio jambo la kuchekelea