min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,632
- 165,003
Endeleani kushobokea vijana wa hovyo tu , nimekaa pale 👉 nakunywa zangu bia za baridi tu😊nimekoma mimi nimekoma🙌😅😅
Endeleani kushobokea vijana wa hovyo tu , nimekaa pale 👉 nakunywa zangu bia za baridi tu😊nimekoma mimi nimekoma🙌😅😅
nani sasaEndeleani kushobokea vijana wa hovyo tu , nimekaa pale 👉 nakunywa zangu bia za baridi tu😊
Wewe sio mgeni mpaka usijue humu palivyo pa hovyo..,.nani sasa
inanichefua sana,, sio miguu tu hata ile harufu ya nyama nikiiskia kwa mtu huwa napata nausea ya hatariMiguu ya ng'ombe.
naelewa ila nimeshangaa ulivyosema "endeleeni kushobokea vijana wa hovyo",, ndo maan nimekuuliza nani?Wewe sio mgeni mpaka usijue humu palivyo pa hovyo..,.
Nimesema tu ujumbe kwa wote,mambo kama haya ni udhalilishaji mkubwa na sio jambo la kuchekeleanaelewa ila nimeshangaa ulivyosema "endeleeni kushobokea vijana wa hovyo",, ndo maan nimekuuliza nani?
wamekusikiaNimesema tu ujumbe kwa wote
Yeah mtu anaefanya hayo hana tofauti na muuaji , hizi mambo zilikua twitter , na huu ujinga umeshamiri kwa sababu ya watu kuto jua sheria na haki zaowamekusikia
umeshamiri kwasababu Me wa sikuhizi wapo kama mabinti, ila kama wangekua wanajielewa yasingekua yanatokea haya,,Yeah mtu anaefanya hayo hana tofauti na muuaji , hizi mambo zilikua twitter , na huu ujinga umeshamiri kwa sababu ya watu kuto jua sheria na haki zao
Sasa sijui mtu anatuma humu kumdhalilisha mwenzake ili apate faida ganiumeshamiri kwasababu Me wa sikuhizi wapo kama mabinti, ila kama wangekua wanajielewa yasingekua yanatokea haya,,
aah sijui mwenyewSasa sijui mtu anatuma humu kumdhalilisha mwenzake ili apate faida gani
Nimeogopaa!!!si ndio,, Kwani mfano hauja uona kwenye deleted poto😅😅😅
Nani tena anashobokea vijana wa hovyo😅Endeleani kushobokea vijana wa hovyo tu , nimekaa pale 👉 nakunywa zangu bia za baridi tu😊
Hauniangushi hapo tu babu🤗Let me du ze needful😂
Uchawi usinipate tu sijahusika kwa namna yoyote ile😆Kuna sadaka ya kilinge hapa nipe mwongozo😁
😅😅😅Nimeogopaa!!!