Tatizo kikao cha mwanzo hukushiriki daktaree🤣Ila na mimi uwa ni rafiki yako ,unakumbuka uwa nakujulisha progress za mamawatano naomba uwe unaniita kwenye hivi vikao na mimi nina maoni mazuri tu
Lol! Nimecheka sana, maongeza ya hela anaingiza usharobaro!! Hii meza imetulia sana wallahView attachment 3537102
Mambo ya mwisho wa mwezi na vicoba😂😂
Poker unamkumbuka yule dogo alotingisha meza yetu? Obe unacheka nini 😂😂😅 moudgulf tuna kikaooo😁
Angelipia kwa njia ngumu😂 kwanza anaijua hata VSOP?🤣Lol! Nimecheka sana, maongeza ya hela anaingiza usharobaro!! Hii meza imetulia sana wallah
Lol!Angelipia kwa njia ngumu😂 kwanza anaijua hata VSOP?🤣
Niko poaa habari za kusini?Lol!
Ukikimwaga hicho kinywajicha kifaransa meza nzima tunasimama na kumkabidhi kwa wanausalama. Anaharibu burdani. Uko bien lakini?
...kusini ni poa kabisa, mvua zinapiga kelele hadi tunaamua kuezua mabati na kuweka nyasiNiko poaa habari za kusini?
Nyasi hazivuji kweli mkuu🙆🏽♀️...kusini ni poa kabisa, mvua zinapiga kelele hadi tunaamua kuezua mabati na kuweka nyasi
NaogopaHahahaaa herufi za mwanzo hawakudis bana!
Hi kaka angu mzuriDada
Huyo alovaa saa kama namjua
hello my sisterHi kaka angu mzuri
Nimefurahi sana kusikia hivo Carleen itakusaidia kupunguza mawazo kuhusu rafiki yako. Ukihitaji mtu wa kuongea nae niko hapa kwaajili yako.kama umejua yaani, leo nimefunga biashara nimeenda kuchezea maji ndiyo narudi nyumbani,
nimetoa stress nyingi sana moyoni leo kiukweli, nitakuwa natoka kama hivi mara kwa mara..!
series ndiyo huwa my escape plan nikiwa na muda..!