Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,777
NoUmetutapeli kumbe
OK maliza kula kwanzaNo
Nimechelewa kurudi kwenye mishe jmn
Hapa ndo nakula imagine
SijauzaNikajua ulishakata ukauzaππ
Ila rasta zinakupendezea mnoSijauza
ππππ mama mtumishi, wee baki kwenye imani bhanaaWatu mna siti
Unatakirika peke yako
πππ ngoja sahii nipite nakedNimeon rasta tu lakiniπ
πππππ hatariiii.Wachaaaaa
Sikuwezi
ππShukran sanaIla rasta zinakupendezea mno
Mimi sijapata utulivu tu , ningesokota tena.ππShukran sana
Sawaππππ mama mtumishi, wee baki kwenye imani bhanaa
Una urefu kiasi gani mama mchunga ?Nyingine kesho
5.2Una urefu kiasi gani mama mchunga ?
Mhmmm mbona unaonekana ni super tall?
Ukipata utulivu utaanza upya usijaliMimi sijapata utulivu tu , ningesokota tena.
Kwanza sijui vzr km niko sahihiMhmmm mbona unaonekana ni super tall?
Yeah wewe ni mrefu sana kwa wanamke lakiniKwanza sijui vzr km niko sahihi
Ila mi sio mfupi
πππππSawa
π
Ni mimi nafanyaUna sahihisha au ni homework ya jr??
Nisanue kwani shangaziiiii???
JamaniπMhmmm umefuta haraka mno