Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani unavaa size moja na mzee wangu😂

Ningekuletea ya valentines tatizo wake zako wataandamana😂
Wengi tuliozaliwa mwaka 47 tunavaa hiyo size 🤪

Kama kuna hiyo zawadi, tafadhali niletee tu, Bibi zako hawawezi kuwa na wasiwasi na Mjukuu as wanajua Mume wao sina Kasi ya mbio ndefu kama Vijana 🤗🏃🏃
 
Wengi tuliozaliwa mwaka 47 tunavaa hiyo size 🤪

Kama kuna hiyo zawadi, tafadhali niletee tu, Bibi zako hawawezi kuwa na wasiwasi na Mjukuu as wanajua Mume wao sina Kasi ya mbio ndefu kama Vijana 🤗🏃🏃
Hahhahaaaaaa sawa babu acha niiandae mapema🫢
 
Mahondaw
PSX_20260125_224331.png
 
Back
Top Bottom