Wengi tuliozaliwa mwaka 47 tunavaa hiyo size 🤪Yani unavaa size moja na mzee wangu😂
Ningekuletea ya valentines tatizo wake zako wataandamana😂
Mbona tulikubaliana utaanza wewe?Sijasahau, nasubiri upite 😏
Yani nisamee bureHi. Sio kwa kutingwa huko sis
Uje nikublessForever and alwayss sis.😍
Samaleko!
Yeah niko sawa vp ww?Upo gudi?
Hahhahaaaaaa sawa babu acha niiandae mapema🫢Wengi tuliozaliwa mwaka 47 tunavaa hiyo size 🤪
Kama kuna hiyo zawadi, tafadhali niletee tu, Bibi zako hawawezi kuwa na wasiwasi na Mjukuu as wanajua Mume wao sina Kasi ya mbio ndefu kama Vijana 🤗🏃🏃
Angalau umechangamsha uzi mkuu.
Mambo mdogo anguAngalau umechangamsha uzi mkuu.
Salama, uko poa?Mambo mdada mzuri
Umemisika mnoSalama, uko poa?
Asante ww pia😊😍🥰Umemisika mno
Umenougaa sana sis 😍😍😍🤩
Poa naona umeongezeka umekuwa mshangazi.Mambo mdogo angu
😂😂😂😂😂😂Yani unavaa size moja na mzee wangu😂
Ningekuletea ya valentines tatizo wake zako wataandamana😂
😁Ndio mim ni mshangazi tayari😁😁😁Poa naona umeongezeka umekuwa mshangazi.