Selfika na JF: Snap it. Show it

Huna lolote πŸ˜‚πŸ˜‚ mi nataka maelezo kuhusu huyu Mangi, simwelewi elewi ila naona kuna misururu ya warembo humu inataka kujipigia pande 🀣

Halafu huyo Maka mbona unampigia pasi ndefu ndefu hivyo, kwani kakuhonga nini πŸ˜…
Achana nae kalamo kanapenda vita
 
Tanguliza umbea TSR nakuja 🀣🀣

Wacha weeh, tatizo gangster mimi napenda mapenzi laini lainiπŸ˜… huba litiwe na iriki, liwe shata shatah!

Ila namkubali sana, fundi mwenye mavituz yake, hana baya mshkaji wako!
Igweeeeeeeee 😹😹😹
 
Unanifukuzia mtoto mzuri wewe
Wee nawe utamuweza binti wa zamani nguvu zenyewe za soda min 😹😹😹

Umezoea kudrive bajaji hiyo fiat utaiweza?? 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…