Namtania tuMbona unamfokea lakini????
Wanasema Wakike kuanzia mitatu anaanzaanza mi Ndo nimeanza kumuwekea nguo kwenye beseniAnakaa sasa hivi
Asavali mtoto mzuri hafokewi banaNamtania tu
Si unajua mie sina HATIMILIKI ya hiyo PAPUCHI, ππ€£Makaaaaaa π£οΈπ£οΈ
Wanataka kukubebea goma lako huku..!! πΉπΉπΉ
Yeah! Nasikia wakike miezi 3, mtoto akikaa mwenyewe kazi inapunguaWanasema Wakike kuanzia mitatu anaanzaanza mi Ndo nimeanza kumuwekea nguo kwenye beseni
Una baa kwa nyuma?Ubaya ubwela
KivipUna baa kwa nyuma?
Kakojoe ulaleKivip
Basi sawaKakojoe ulale
Mwanakwetu naomba uniletee maelezo ya kutosha hapa, kipigo kutoka kwa nani? kuna mtu anammiliki huyu mubaba π ?Ole wako ujaribu utachezea kipigo cha msela ushangingi wote utakuishaa πΉπΉπΉ
Hujanisoma vizuri, mimi nakwambia wewe ukijaribu kuchepuka Maka atakutembezea kichapo mpaka ushangae..!!Mwanakwetu naomba uniletee maelezo ya kutosha hapa, kipigo kutoka kwa nani? kuna mtu anammiliki huyu mubaba π ?
Acha kunitoroshea mtoto mzuri lamoHujanisoma vizuri, mimi nakwambia wewe ukijaribu kuchepuka Maka atakutembezea kichapo mpaka ushangae..!!
Huyo maka wa kwako peke yako na mimi ndo guard πΉπΉπΉ
Huna lolote ππ mi nataka maelezo kuhusu huyu Mangi, simwelewi elewi ila naona kuna misururu ya warembo humu inataka kujipigia pande π€£Hujanisoma vizuri, mimi nakwambia wewe ukijaribu kuchepuka Maka atakutembezea kichapo mpaka ushangae..!!
Huyo maka wa kwako peke yako na mimi ndo guard πΉπΉπΉ
Wewe bana pambana na mademu zako naona mchuano mkali halafu dizaini km unasikia raha walivyo na vita baridi..!!Acha kunitoroshea mtoto mzuri lamo
Weee bana usinitie matatizoni sasa hivi nimeacha ugomvi ila unavyoona ndo hivyo hivyo πΉπΉπΉHuna lolote ππ mi nataka maelezo kuhusu huyu Mangi, simwelewi elewi ila naona kuna misururu ya warembo humu inataka kujipigia pande π€£
Halafu huyo Maka mbona unampigia pasi ndefu ndefu hivyo, kwani kakuhonga nini π
Tanguliza umbea TSR nakuja π€£π€£Weee bana usinitie matatizoni sasa hivi nimeacha ugomvi ila unavyoona ndo hivyo hivyo πΉπΉπΉ
Wacha weeh, tatizo gangster mimi napenda mapenzi laini lainiπ huba litiwe na iriki, liwe shata shatah!Kuhusu maka kaa kwa kutulia hata wewe unampenda inshort wote mpo kwenye huba zito πΉπΉπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Sio mtoto mmoja kila baada ya miaka 5?Kila la kheri kipenzi fanya shuta uzae mapema umalize zako hekaheka mapema
Unanifukuzia mtoto mzuri weweWewe bana pambana na mademu zako naona mchuano mkali halafu dizaini km unasikia raha walivyo na vita baridi..!!
Mdomo koma sitaki kusutwa mie π€