Unaishia kuwatania watoto wazuri, sema kuna codes ningekupa tatizo sasa hivi nimeacha ugomvi..!!
Nikisema tu watajua nimetoa siri zao.
Ila kuna vitu vidogo ukikaza unajipigia kwa maraha zako peke zako 😹😹😹
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️ kwaheri sichelewi kuharibu..!!